Mjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara...
Toka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iweke ukomo wa mtu kukaa kwenye nafasi ya urais kwa miaka 10 kwa vipindi vya miaka 5, mgombea wa CCM aliye na stahiki ya kugombea mhula wa pili baada...
Kuna barua nyingine tena zinazodaiwa kuandikwa na wafungwa wa Kitanzania wanaotumikia vifungo vyao huko Hong Kong baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya. Anayechapisha barua hizo kwenye mitandao...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Amejikuta akishindwa kujizuia hisia zake za furaha na shukurani kwa...
Wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Mh Yeriko na Mh Ntobi wamesema walidhani Tundu Lisu atatoa Amri ya maandamano hadi Makao makuu kuhakikisha Press ya katibu mkuu Mh John Mnyika inafanyika...
Traore amejizolea umaarufu mkubwa Duniani hasa kwa ulinzi wa rasilimali. Amekuwa na nguvu kubwa ya mapokezi kila anapokwenda. Amekuwa mwana mapinduzi anayetisha mabepari kwa misimamo yake...
Kwa mara nyingine, maafisa wa Hong Kong katika kiwanja cha ndege wamefanikiwa kukamata dawa za kulevya zilizokuwa zinasafirishwa kutokea Tanzania safari hii zikiwa zimefichwa katikati ya chuma cha...
Ni kama vile hizi zama Viongozi wenye Fikra za akina Thomas Sankara na Ibrahm Babangida wa enzi zetu ndio furaha ya vijana
Ninaiangalia hapa Picha ya Tundu Lisu akiwa JKT
Duh ni afadhali...
Kwa Viongozi wetu wanaoratibu huu mkutano. Hivi huu mkutano ulipangwa ghafla hadi tunawashtukiza wananchi na press release za usiku za kufunga shule kwa siku mbili??
Kwanini huwa hatukai chini na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema amesema atamshauri Mwenyekiti mpya wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu kuanda mkakati wa kumuaga rasmi na kutambua mchango wa Mwenyekiti Mstaafu wa...
igweeeeeee
Imesalia takribani mwaka mmoja na miezi kadhaa kuufikia uchaguzi mkuu mwaka 2025.
Kama ilivyokawaida ya upepo wa kisiasa tayari washindani wakuu wamebaki kutoka vyama vilevile CCM na...
Anasema kweli
At a press conference held in Washington, at the White House, Trump made profound statements against African leaders.
*Donald Trump explains his statements against Africans:
1...
Hii Africa Energy Future Summit inatuonyesha umakini wa viongozi wetu. Mmojawapo ni Mheshimiwa Dr Dotto Biteko (PhD) huyu kiongozi ni hazina ya mbeleni. Ana utulivu wa kiuongozi na elimu pia ipo...
Kiongozi wa baadhi ya wabunge 19 kutoka chama cha demokrasia na maendeleo Chadema Halima Mdee ametuma emoj ya kucheka baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu kusema wanatakiwa kueleza nani...
Chini ya utawala wa Samia wawekezqji watazidi kumiminika tu maana demokrasia ipo kwa maana ya kwamba upinzani unafanya mikutano na kutoa maoni. Mfano uchaguzi wa juzi wa chadema umetoa somo kubwa...
Kufuatia kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Ndugu Tundu Lissu ya 'π΅π πΉπππππ, π΅π π¬πππππππ' kumekuwa na 'reactions' nyingi kutoka kwa viongozi mbalimbali, matawi...
Unajua Tundu Lissu amesaidia sana Kufanya Uchaguzi wa Chadema uwe na Uwazi Kwa sababu Wewe usiposema ule ukweli basi yeye atausema
Pamoja na Chadema kuwa na Rundo la Wanafiki akina Mshana Jr...
Sio siri Rais hana mvuto kabisa kwa Wananchi na mbaya zaidi 2025 hana sera.
Hili si jambo geni machoni kwa watu kila kona kuna mabango ya kumsifia mama.
Kuna vikundi mbali mbali zimeanzisha...