Wakuu,
Ni huduma gani ambayo tunaweza kusema kwa 90% na kuendelea kuwa serikali imetimiza? Yaani hata mtu akilalamika tutasema hapa ni roho mbaya tu ya watu kulalamika lakini huduma ni nzuri?
Si...
Kama kuna mtu mwenye Ilani ya chama cha Mapinduzi 2020 hadi 2025 atusaidie kufahamu kama ipo ahadi yakutoa huduma ya afya bure kwa mama na mtoto.
Kama ilikuwa ahadi maana yake haijatekelezwa na...
Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa...
Nimekuwa nikishangaa mnoo mara kwa mara kusikia mijadala ya kujadili namna ya kuwarejesha au kuwakataa wabunge wa Covid 19, Mchungaji Msigwa na Dr. Slaa. Hizi hoja zilishika kasi kipindi cha...
1. Ndugu zetu Diaspora kimewaka tayari. Mzee hataki utani anawapakia kwenye madege ya kukodi na kuwarejesha makwao.
2. Waziri Mambo ya nje TZ hawezi kuongea na viongozi wenzake huko? Nyani Ngabu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, akifurahi jambo na Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Mhe. Halima Mdee Jijini Dodoma...
Wakuu,
Kusema watumishi wa umma wafanyie kazi nyumbani huku sekta nyingine zinafanya kazi kama kawaida ndio mmepunguza nini?
Kwanza tunajua serikali hainaga utaratibu wa ku-work from home. Hiyo...
Wakuu,
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema kufuatia taarifa ya Serikali kuhusu agizo la baadhi ya Watumishi wa Umma kufanyia kazi nyumbani, Wizara hiyo inaelekeza Shule zote za Msingi...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo
Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi...
Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi...
Kesho ni Januray 27.
Miongoni mwa watu maarufu wanaozaliwa kesho ni Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Atakuwa anafikisha miaka 65.
Ni mgombea wa Urais kwa tiketi ya...
Makamu Mwenyekiti Mpya wa CCM Mzee Wassira amesema maridhiano ni jambo la lazima katika kudumisha Amani yetu
Wassira amesema Nchi karibia zote za Africa zilipitia Mapinduzi ya kijeshi kasoro...
Cyprian Musiba akizungumzia uteuzi wa wagombea CCM na ujio wa Tundu Lissu unavyoshawishi watu wa CCM kuhamia CHADEMA.
Soma: Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na...
Huu ni mwanzo tu tumeona huko Dodoma wasanii walikuwa kama sanamu vijana hawakuwaaikiliza wala kuwachukulia umuhimu.
Vijana wote walikuwa wanamwangalia Lissu na Heche. Vijana wameanza kujua hawa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho kinaendelea kujipanga kwa uchaguzi ujao, huku akibeza kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote...
Prof. Joseph Mbele, mhadhiri wa literature wa Chuo Kikuu, Olaf College, USA; ametazama na kuchambua Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA na kutoa angalizo zito kwa CCM. Kabla ya kuchapisha...