Naona Kila jambo ni lazima liitwe Samia. Hivi Serikali inafanya kazi gani kama kila kitu kinafanywa na Samia Hassan Suluhu!?
Nasikia "Birthday" yake baadhi ya huduma za Afya zitatolewa Bure!
Wanabodi,
Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM.
Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!.
Wakati Comred Kinana...
Tunapoelekea uchaguzi mkuu safu mpya zinazokuja kuziba mapengo ni pamoja na Nape kuchukua nafasi ya Nchimbi huku Pole pole akirejea nchini kumsaidia Kazi Mzee Amos.
Makongoro Nyerere anakwenda...
Upinzani mpaka sasa haupo tayari kuungana kuikabili CCM na kuishinda, hawa ni kwa sababu ni wabinafsi na hawana ajenda ya Pamoja lakini pia hawana fedha, uchaguzi ni fedha.
Lakini kwa maoni yangu...
Kwa hakika, Tundu Lissu ana Power na ushawishi mkubwa sana. Kuchaguliwa tu, majoka yameanza kutoka mashimoni na kuanza kurandaranda mitaani.
Sipati picha Lissu atakapoanza kazi rasmi.
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Tanzania imepata fursa na heshima ya kuwa nchi mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) utakaofanyika Jijini Dar es Salaam...
Huyu mfa maji aliwekeza siasa zake katika kumshambulia Mbowe binafsi kupunguza maumivu yake badala ya kunadi sera za Chama chake.CCM walifurahia sana mambo hayo kiasi cha kuambatana nae katika...
“Kaka yangu Jafo [Waziri Selemani Jafo] unafahamu 2020 niligombea kule Kigamboni, sina uhakika sana kama nitaenda kwenye jimbo Kigamboni, ni kama vile nimenogewa na hii kazi aliyonipa Dkt. Samia...
Ili Mkutano Mkuu wa CCM Taifa 2025 uweze kufanyika, ni muhimu kwamba vikao vya chama viwe vimetangulia ili kubaini agenda zitakazozungumziwa. Utaratibu huu ni wa muhimu kwani unahakikisha kwamba...
Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii...
Vivyo hivyo waweza kumsamehe Dr Slaa kama ametubu
Mimi siyo mwanachadema ila ni mdau wa SIASA za Haki
Mungu wa Mbinguni mbariki Tundu Lissu.
Ahsanteni sana 😀
Nimemsikia akisema No Reform,No Election,
Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima.
Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi?
Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona...
Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki.
N. B: for the first...
Ikiwa kakumbukwa Adadi Rajabu kwanini na Dr Mary Nagu asipewe maisha Tena?
Soma >> Rais Samia ateua Wenyeviti na Makamu Wenyeviti wa Bodi za TMA, Mkonge na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi...
Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa ...
Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili
Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ...
A Vision for Africa's Sustainable Energy Future: A Message to President Samia Suluhu Hassan on Innovation, Minerals, and Collaboration
Your Excellency, President Dr. Samia Suluhu Hassan,
As we...
Hiii ni aibu watu tuna ndugu ikifika mwezi wa kumi na mbili mnazajazana vijijini tuna washangaa tunawaona wa maana kumbe hamnazo kabisa.
Mtu unaishi dar unamtia mtoto wa kike mimba ila huna uwezo...
Hili suala la kukatika umeme limeanza upya mbali na kuaminishwa na Naibu Waziri Mkuu kuwa limekwisha baada ya Mitambo kuanza kufanya kazi Rufiji. je kulikoni leo huku Kabuhoro wamekata muda mrefu...