Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kwa Mara ya kwanza tangu mfumo wa Vyama Vingi uanze Mgombea Mwenza wa kupigiwa Kura za Wananchi atatoka Tanganyika Makamu wa Rais wa Sasa Dr Mpango aliteuliwa na kuthibitishwa na Bunge Dr...
1 Reactions
6 Replies
193 Views
Ikiwa ni wiki moja imepita tangu chama cha mapinduzi CCM kimpitishe Rais Samia kuwa mgombea pekee wa Urais kwa tiketi ya chama hicho na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea Mwenza kwa nafasi ya Makamu...
2 Reactions
11 Replies
404 Views
Leo ni balaa hapa Kivukoni. Foleni na usumbufu mkubwa sana kwa wasafiri na wasafirishaji. Hakuna kiongozi yeyote aliyefika kutatua hili tatizo la vivuko kukwama. Nashauri, kama Daraja hili la...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru...
29 Reactions
60 Replies
9K Views
Wakuu, Hivi badala ya kutumia social media, redio na TV au njia nyingine za kufikia wananchi unaamua kwenda kufanya Marathon kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye Uchaguzi? Vihoja hivi utavipata...
1 Reactions
4 Replies
189 Views
Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria . Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani...
12 Reactions
62 Replies
3K Views
Mfanyabiashara maarufu mkoa wa Mara na mmiliki wa Mabasi ya Zakaria, Peter Zacharia amepewa dhamana kwa kesi ya kujeruhi watu wawili, kisha kusomewa mashitaka mengine ya Uhujumu uchumi pamoja na...
6 Reactions
135 Replies
32K Views
Taarifa kutoka Mbeya ni kuwa kijana Chaula aliyefungwa miaka miwili jela kwa kosa la kuchoma picha ya Rais Samia, na baadaye kuachiwa baada ya kuhangiwa na wananchi amechukuliwa na watu...
16 Reactions
227 Replies
9K Views
Tarime. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) Wilaya ya Tarime, Godfrey Francis atapandishwa kizimbani muda wowote leo Julai 2, 2018 baada ya kukamilika kwa mahojiano na polisi. Francis...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Naona mambo yanazidi kunoga tu! =============== Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kimeonya vikali watu wanaobeza maamuzi ya Mkutano Mkuu wa chama hicho ya kuwateua Rais Dkt. Samia Suluhu...
1 Reactions
20 Replies
610 Views
Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Ni Imani yangu Deus Soka na wenzake kadhaa waliotekwa katika Mazingira yanayofanana kabisa na Ule utekwaji wa Wana wa Israel watapatikana wakiwa Hai Hadi sasa Hamas imeshawaachilia Wana wa...
0 Reactions
2 Replies
155 Views
Leo katika uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya nishati na Madini Mama Salma Kikwete alimpongeza Waziri January Makamba kwa kutoa zawadi ya mitungi 100 ya gesi kwa kila Mbunge sintofahamu ikaanza...
25 Reactions
103 Replies
8K Views
Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100. Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea...
14 Reactions
93 Replies
7K Views
Mmiliki wa Mabasi ya Zacharia, Peter Zacharia anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwapiga risasi maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa wakiwa katika kutimiza majukumu yao. Habari zaidi...
15 Reactions
320 Replies
91K Views
Hongera TUNDU LISSU, safari ya kwenda Ikulu ianze sasa. Mbinu za maangamizi; 1. Mobilization ya vijana hasa wapiga kura ianze kwa haraka sana. Hii ni pamoja na kuandikisha wanachama wapya...
32 Reactions
85 Replies
4K Views
Napenda tu kuwakumbusha watawala wa Tanzania kuwa mambo yanaposhinda si vibaya kutaka msaada wa kiakili kutoka nchi zilizofanya vizuri. Nasema hivi kwa maana naona gap kubwa ya uongozi mzuri...
32 Reactions
79 Replies
3K Views
Wanabodi, Kama ambavyo huwa ninajinasibu humu kuwa, japo mimi nina chama, ila sina mtu, kwenye mazuri napongeza, na kwenye mabaya nakosoa, hili ni Bandiko la Pongezi Kwa Mbunge wa Mtera, Mhe...
37 Reactions
219 Replies
25K Views
ASKOFU wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Benson Bagonza amechambua ushindi wa Tundu Lissu na kushindwa kwa Freeman Mbowe kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti...
0 Reactions
4 Replies
396 Views
CHADEMA wa Kata ya Segerea mkoani Dar es Salaam, Kitomary Steven, amekanusha vikali madai yaliyoenezwa mtandaoni kwamba amepanga kumvua uanachama John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na...
3 Reactions
10 Replies
941 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…