Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Lema ameendelea kurusha mawe kwa Wenje. Sakata la Abdul limeendelea kuwa gumzo
17 Reactions
60 Replies
2K Views
Kama Taifa yafaa kuwa na vazi rasmi la kitaifa. Mchakato ukiamza ila sasa tuumalizie kabla ya 2025
0 Reactions
22 Replies
714 Views
Wakuu Madaraka Nyerere, mtoto wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, ameandika kuhusu mazungumzo aliyofanya na Mama Maria Nyerere (ambaye ni Mama yake) kuhusu mwenendo wa...
8 Reactions
52 Replies
2K Views
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
1. Vichaa wa kisiasa. Tunaposema vichaa wa kisiasa, tunamaanisha wale watu waliofunga macho na masikio wasione wala kusikia, wakachagua kuacha midomo wazi kuzungumza kwa nguvu zote!, Watu hawa...
2 Reactions
2 Replies
276 Views
"....CCM ni tunaongoza Dola na tutaendelea kuiongoza. Hata Wajukuu huwa wanachezea ndevu za Babu yao jambo ambalo halina tatizo. Na hata hawa Wapinzani kuchezea ndevu za sisi Babu yao haina...
1 Reactions
18 Replies
554 Views
Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo amewapongeza Wanafunzi, Walimu na Uongozi mzima wa Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani ikiwa ni sehemu ya furaha ya kuona Shule ya sekondari ya Wasichana iliyopewa...
0 Reactions
2 Replies
398 Views
Heshima yako mh Rais, pole na majukumu ya kitaifa, Samahani kwa kukuambia haya. Siasa sio vita, rais Samia ingekusaidia sana ukimpongeza lisu kwa kushinda. Kama uliweza kuenda kumwona...
12 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari wanajamii napenda kumshukuru MWENYEZI MUNGU mwingi wa rehema kwa kutupa neema hii ya pumzi mpaka muda huu Barua yangu hii fupi naomba niweke mahususi kwa viongozi wa nchi wakiongozwa na...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Mhe. Mbowe kwa kukusudia ama kwa kulazimishwa na mazingira, umefanikiwa kukifanya CHADEMA kuwa sasa na sura ya kitaifa zaidi. Kumekuwa na mtizamo kuwa chama hiki ni cha kikanda ama cha kikabila...
1 Reactions
2 Replies
277 Views
1. Kuleni NYASI, ndege ya RAIS lazima inunuliwe 2. MILLION 10 NI MBOGA YA NYANYA 3. Acheni wivu wà KIKE. 4. FOLENI Dar ni ishara ya maisha bora 5. Asiyeweza kulipa NAULI APIGE MBIZI 6. KIFO...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi wadau Pamoja na kwamba Jakaya Kikwete amekuwa kiongozi kwa muda mrefu hadi kuwa rais wa Tanzania kwa miaka kumi ,nakiri wazi sikuwahi kuujua uzalendo wake kwa nchi ya Tanzania...
43 Reactions
104 Replies
18K Views
Rais wa Tanzania John Magufuli wakati akizungumza kule kanisani Chato amesema alishangazwa sana na taarifa za madaktari na wauguzi zaidi ya 60 pale hospitali ya taifa pale Muhimbili kuwekwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbunge Lisu baada ya kupona majeruhi yake ametangaza kwa mbwembwe kuanza ziara ya kuichafua nchi yake Tanzania huko barani Ulaya na USA. Lisu ametangaza wazi lengo la ziara yake ni kwenda...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari. Chadema ya mwaka 2014 kurudi nyuma ilikuwa ya kutetea masilahi ya taifa ,ya kujenga hoja na mara zote ilikuwa raha kuwasikiliza wakiibua hoja ufisadi mzito kwenye mikataba . Leo Chadema...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Hapa duniani kuna mambo mengi sana Yanayofurahisha na kumtia hamasa mwandamu . Kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo hasa wanasaikolojia wanaamini kilele cha furaha kwa mwanadamu ni pale unapomgeuza...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu mwezi wa tatu mwaka huu wa 2019 , ambao tuliambiwa kwamba Chadema itafanya uchaguzi wake MKUU wa kuchagua viongozi wa kitaifa . Taarifa iliyowahi kutolewa na afisa habari wa chama hichi ndg...
5 Reactions
114 Replies
10K Views
Mbunge wa Mtera Living Stone Lusinde wakati akichangia hoja bungeni amechambua kwa kina report ya CAG na kuweka hadharani namna ilivyoweka wazi wizi na ufisadi wa chadema kwenye ruzuku wanayopata...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati January Makamba ametembelea ofisi za Tanesco na kulipongeza shirika hilo kwa kufikisha wateja 3.2 millioni ndani ya miaka 5 iliyopita. Wanaoliwezesha kukusanya zaidi ya...
13 Reactions
197 Replies
20K Views
Wadau amani iwe nanyi, Ni jambo la kusikitisha sana vijana wa chama mbadala wa chama tawala kufumbia macho wizi ndani ya chama chao. Wananchi walitarajia kuwaona vijana wa CHADEMA wakiwa...
6 Reactions
111 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…