Ukiachilia mbali yule mpuuzi Ntobi, Chuki yao dhiki ya Tundu Lissu ilikuwa bayana na haikuwa fiche. Lakini kama ilivyo ada, muda huwa Mwalimu na kwalo hawakujipa kiasi ya kuhifadhi.
Ni ipi kesho...
Ndugu zangu Watanzania,
Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu...
Tumia dakika zako 10 kuziangalia hizi videos kuuona ujasiri na msimamo wa Makamu mpya wa Chadema
John Heche alichomjibu Magufuli akiwa ziarani Tarime
Hii ni baada ya kukatazwa kufanya mkutano...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa sasa Mbowe anatapatapa, haelewi ashike wapi na aache wapi. Hii ni baada ya shutuma kuwa kali sana ndani ya chama chake kutoka kwa wanachama wake ya kumtaka ajiuzulu na...
Nadhani wengi mtasema Mimi ni mchawi. Hapana
Mtu wa Mungu anaweza kutumia malaika kuwapa mission (kazi) na wakaifanya vizuri. Pia mtu wa Mungu anaweza kuwaamuru mapepo waende ndani ya mtu au...
Watanzania wengi hawajali vyama vya siasa wanajali Haki. CCM wanatumia pesa za serikali lakini kwasababu ya rushwa kubwa iliyopo serikalini na wananchi kukosa haki zao za msingi kuanzia...
WAZIRI MCHENGERWA: Watumishi mnanaotaka kugombea nafasi za kisiasa zingatieni taratibu za kiutumishi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa...
NUSURA YA CHADEMA ILIKUWA NI LISSU KUSHINDA TU.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Isingekuwa rahisi kwa watu wa Lissu kuungana na Mbowe kama Mbowe angeshinda lakini ni rahisi kwa watu wa...
Amani iwe nanyi wanabodi.
Mwaka huu naenda kutimiza miaka 10 ya membership kwenye jukwaa hili kwa Id hii. Hata hivyo, kwa ujumla nina miaka mingine 4 nyuma ya 2015 ya membership nikiwa na id...
Wakili Peter Madeleka ameandika "Nitamuomba JENERALI Tundu Lissu ASIFANYE TAFRIJA ya KUSHEREKEA USHINDI WA CHADEMA mpaka DR. WILBROAD SLAA ATOKE GEREZANI. Ni muhimu pia DPP akahudhuria TAFRIJA...
Hatimae imetimia, wananchi waliowengi wamebubujikwa na furaha baada ya mkataa rushwa, mpinga ufisadi kuibuka mshindi wa uchaguzi mkuu wa CHADEMA.
Watanzania tuliompenda Magufuli tunataka kwenda...
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully.
Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu...
Maboresho ya Kodi Yanayohitajika Kufanyika Tanzania
Katika kuelekea maendeleo ya uchumi wa Tanzania, ni muhimu kufanyika maboresho katika mfumo wa kodi. Kodi ni chanzo kikuu cha mapato ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya...
Hellow!!
Nabii huyu alitabirri kuwa baada ya kifo Cha Hayati Magufuli kuwa KITI kikuu kitaendelea kuwa Cha moto na kutokalika,
Alidai itafika time watu watakuwa wakipendekezwa kwenye nafasi za...
Wakuu,
Lissu amekuwa akiongelewa kama mtu mwenye misimamo, aliyenyooka, na siyo rahisi kuyumbishwa. Yeye na Heche imekuwa pea moja ambayo inaendana kwa kwenye misamamo na njia zao za kuongoza...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na...
Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili
Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura...