Naomba mtusaidie sababu na utaratibu unaotumika kuweka sahihi ya Waziri na Gavana katika noti za nchi.
Je, ni sheria inataka hivyo au maamuzi ya utawala uliopo madarakani?
Je, kuna gharama...
Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa...
Nina hoja
Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono
CCM...
CCM ni udikteta tu kuanzia juu mpaka chini. Ukionesha una mawazo tofauti unaundiwa zengwe nanusipokuwa makinini unaweza kiuawa.
CHADEMA imegraduate mpaka kuweza kushika nchi. Ni chama makini sana...
Wakuu,
Mbowe atoa neno baada ya Lissu kutangazwa kuwa Mwenyekiti Mpya Taifa, anza kwa kushukuru Mungu kwa zoezi zima kwenda vizuri bila ya kuwa na changamoto yoyote na kujenga chama chenye...
Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana,
Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri...
Mimi ni kijana Mzaliwa wa Tanzania mwenye kipato cha juu ( Tajiri ) , nimeamua kuichagua chadema kati ya utitiri wa vyama uliopo katika nchi yetu, nitaiunga mkono na kuipigania bila kuvunja katiba...
Kuna trend naiona kwenye siasa za nchi yetu Tanzania.Kila inapoonekana mwamko wa kisiasa kwa Wananchi wengi umepoa basi inatafutwa namna ya kuuamsha mwamko wa kisiasa upya.
Hili la uchaguzi wa...
Kwanza kabisa nianze na Kumpongeza Tundu Lissu Kwa kuwa Mwenyekiti.
Pili niingine kwenye Mada, Wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA ambao walifukuzwa uanachama walipambana sana kuhakikisha...
Leo umehitimishwa uongoze wa Freeman Mbowe, baada ya kukaa kwenye nafasi ya juu ya chama kwa takribani miaka 21.
Miaka 21 ndani ya uongozi wa chama cha siasa cha upinzani, si jambo rahisi. Hiyo...
Chungu tamu, furaha ya wengi kwa Lissu kuchaguliwa itageuka chungu kwa sababu Chadema kinakwenda kusambaratika. Sababu za kusambaratika ziko wazi. Siwapongezi nawapa pole.
Kwaheri CHADEMA.
Wanabodi
Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo...
Hata sasa sitashangaa Mzee Kikwete akirudi Siasani kwani upepo wa Siasa umeshabadilika
Namuona Tundu Lisu akiilazimisha CCM kuachana na Siasa za Uchawa na kuingia kwenye Siasa halisi kama enzi za...
Wakuu,
Majibu ya kura yanatangazwa muda wowote kuanzia sasa, baada ya zoezi kufanyika usiku kucha.
Wale wazee wa kuomba ban mko wapi? Mbona hatuwaoni, hamuamini team zenu kabisa? Ombeni basi...
Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama...
MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa...