Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda...
9 Reactions
26 Replies
672 Views
Wakuu, Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe). Mambo yameanza kuwa yamoto...
14 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwanza niwape Hongera CHADEMA kwa kuendesha Uchaguzi wa Kiwango cha juu, na nimpongeze Lissu kwa Ushindi. Pili niombe Watanzania wote tuungane kuiombea CHADEMA kwa kipindi kigumu itakachopitia...
3 Reactions
11 Replies
882 Views
Inadaiwa Boni Yai Kwenye Nusu mkate yuko Jimbo la Kawe na Yeriko Nyerere yuko Kigamboni baada ya Makonda kukubalika Arusha Sugu anakwenda Makete na Ntobi anamuondoa Katambi Uchaguzi wa Chadema...
4 Reactions
13 Replies
684 Views
CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
Wakuu! Retired FUSO Tlaatlaah Ambaye yupo tayari aweke Laki mbili Mimi naweka Laki tano. Lisu akishindwa unachukua Laki tano. Akishinda nachukua hiyo Laki Mbili. Aliyetayari kwa Mchezo aniambie...
16 Reactions
109 Replies
2K Views
Kuficha jambo ambalo unalipenda ni ngumu sana, nafsi hauwezi kuipinga juu jambo fulani. Ukimwangalia Peter Msigwa kwa jicho la tatu bado CHADEMA anaipenda sana, ingawaje yupo CCM, unaweza kuona...
8 Reactions
45 Replies
951 Views
Ni wajinga pekee wenye maono kimo cha mbilikimo ndio wanaoweza kafanya uharamia ili CHADEMA kigawanyike , kivurugane ama kisambaratike! Tangu harakati za kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA...
30 Reactions
83 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwamba na Jabali la Siasa za Upinzani katika ukanda huu wa Afrika Mashariki aliyekwepa mishale mingi kama Mbayuwayu Anapendwa na wana...
19 Reactions
149 Replies
4K Views
Wakuu, Katika wagombea wa nafasi ya makamu mwenyekiti hakuna aliyefikisha zaidi ya 50% hii inamaanisha uchaguzi wao unarudiwa ili kumpata mshindi. Kulingana na taratibu za CHADEMA matokeo...
0 Reactions
11 Replies
985 Views
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu. Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais. Atashinda...
0 Reactions
16 Replies
439 Views
Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuiongoza CHADEMA siyo suala la Mihemuko wala Uropokaji wala ukurupukaji wala matamko wala makelele yasiyo na mpangilio. Kuiongoza CHADEMA inahitaji Mwenyekiti aina Ya...
5 Reactions
147 Replies
2K Views
Wakuu, Godbless Lema ametangaza kufanya Press Conference muda wowote kuanzia sasa ikiwa ni saa chache mpaka CHADEMA ifanye Uchaguzi kwenye ngazi ya Uenyekiti Kupitia mtandao wa X wengi...
3 Reactions
67 Replies
3K Views
Mpo salama! Nimeamka zangu! Hata sijaomba! Hata sijaenda washroom! Hata sijafanya lolote! Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni...
13 Reactions
150 Replies
4K Views
Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa...
-1 Reactions
2 Replies
255 Views
John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa...
6 Reactions
64 Replies
2K Views
Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia...
3 Reactions
7 Replies
344 Views
Mimi nimesoma Political Science, siasa za Tanzania tangu 1992 vuguvugu linaanza la mfumo wa vyama vingi nilikuwa nafatilia. Nimekuwa nikimsikiliza Mbowe akihubiri amani ndani ya chama, in fact...
1 Reactions
25 Replies
672 Views
Hellow wakuu, Kwa uelewa wangu kila mwanasiasa kuanzia mbunge hadi Rais huwa wana ofisi, na hizo ofisi zimesheheni watu wa kada mbalimbali, mkuu wa watumishi wote ktk ofisi anaitwa chief of...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…