Ukimuona mtu anamsema vibaya Mh Dr Mapango basi juwa nimaumivu na chuki kubwa juu yake kwa uwamuzi wakupiga chini nafasi ya Umakamu wa Rais na kurudi back benches.
Ndie waziri pekee wa fedha alie...
Hellow!
Wanachadema wameshakuelewa,
Umeeleweka Kwa watanganyika,
Ni muda sasa wa kuvunja urafiki na uhusiano na ndugu Msigwa ikiwa hatokubali kurudi CHADEMA.
Ndugu huyo, kwa kujiunga na...
2025 ni Mwaka wa ukombozi ,Tundu lissu ndiye tumaini jema .
Iwe mvua , iwe jua , iwe CHADEMA, iwe CHAUMMA au popote pale alipo Tupo
Viva Tundu Lissu , Mungu ibariki Tanzania.
Indepencence Day na Project 2025 ndo itakuwa habari ya mjini ifikapo January 1, 2025.
Ndege maalum ya kutoka angani au Spacecraft itatua katika ardhi ya nchi hii na iyakuwa imejaa abiria kadha wa...
Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), makamu wake akiwa ni Kiongozi wa Chama Cha...
"Mbowe na Lissu watakuwa salama…wasiogope" Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa, Charles Odero akizungumza dakika chache kabla ya kuanza kwa...
Wakuu,
Naona CHADEMA leo wanataka kutulaza saa tisa usiku :BearLaugh: :BearLaugh: .Maana ndio kwanza wapo kwenye zoezi la kuhakiki wajumbe, mara wamesema sijui kuna kanda ya Rukwahaikuwepo...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewahi elezea juu ya Picha hii siku za nyuma kidogo. leo tena nimeendelea kuiangalia picha hii na kuendelea kuitafakari zaidi na zaidi na kujikuta nikiguswa sana na...
Rushwa na vurugu zimeikumba CHADEMA katika uchaguzi wa Taifa 2025 uliofanyika Januari 13 na 16, ambapo mabaraza ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha), na wanawake (Bawacha) yalichagua viongozi...
Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM...
Tokea apone na scandal ya sukari, haonekani kujivuna-vuna tena mzee wa kujifanya yupo makini.
Bashe, hivi sasa ni nadra mno kumuona hata kwenye taarifa za Vyombo vya habari akifanya maonyesho...
Ghafla nimetamani iwe hivi. Lissu aachane na huo uenyekiti ili hapo mbeleni agombee Urais wa JMT tena.
Sioni mwingine wa kupambana na Mama hapo mbeleni kwenye uchaguzi mkuu zaidi ya Lissu.
Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
Wakuu,
Kumbe suala la kuweka alama lilikuwa kweli bwana.
Mwenyekiti wa Uchaguzi CHADEMA Frank Mwakajoka amesema amepokea kikaratasi chenye ujumbe kilichokuwa na mapendekezo ili kunyoosha zoezi...
Jeshi la Polisi Kwa kutumia Kikosi chake Cha FFU kimeimarisha Ulinzi katika maeneo yote ya Mlimani City unakofanyika Mkutano mkuu wa Chadema
Source: Mwananchi
Yaonesha huyu bwana anadhani hiki chama ni kwa ajili ya matambiko:
Ajulishwe James Mbowe, hiki chama hapendwi mtu bali msimamo wake.
Soma Pia: James Mbowe: Tabia alizoonesha Lema sio tabia za...
Katika vitu vilivyonishangaza, ni Mbowe kukosa msimamo wa kueleweka. Leo akiomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu amezungumzia habari za kuingia katika uchaguzi ujao wa 2025.
Soma Pia...
1. CCM Haijakidhi Mahitaji ya Wananchi Wengi
Kwa muda mrefu, CCM imekuwa madarakani, lakini maisha ya Watanzania wengi bado yamejaa changamoto kubwa:
Ukosefu wa Ajira: Vijana wengi, ambao ndio...