Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Naona mdogo mtu akiwa anamsapoti Freeman Mbowe wakati kaka mtu yeye akiwa anamsapoti Lissu, Msikilize jamaa kamchana chana vibaya Freeman Mbowe kwa hoja tano. ====================== Mwenyekiti wa...
11 Reactions
21 Replies
1K Views
Makamu mwenyekiti ambaye pia ni mgombea wa kiti cha mwenyekiti wa Chadema kwenye uchaguzi ujao tarehe 21, January Bwana Tundu Antipas Lisu amefichua siri kuwa uhusiano wake na mwenyekiti wa chama...
12 Reactions
102 Replies
6K Views
Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe. --- Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa...
14 Reactions
88 Replies
4K Views
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano" Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa...
14 Reactions
63 Replies
3K Views
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti...
18 Reactions
47 Replies
2K Views
Mhe Freeman Mbowe bila kujali yeye alianza uongozi ndani ya CHADEMA akiwa na umri wa miaka 30 bado ameendelea kujiapiza lazima na yeye afikie miaka ya Baba Mkwe wake ambayo ni miaka 68 ya...
3 Reactions
52 Replies
1K Views
  • Poll Poll
FREEMAN MBOWE-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• TUNDU AM LISSU-MTIA NIA •••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Tanzania ni yetu sote!! Habari kuu ndani ya CHADEMA ni...
26 Reactions
305 Replies
14K Views
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa. Soma alichosema...
8 Reactions
56 Replies
2K Views
==== Kama Mbowe tayari ni mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA mpaka kifo chake kwanini anataka kumtoa Lissu kwenye Kamati kuu? Nia ya Mbowe ni Nini? Kitendo Cha CHADEMA na Kamati kuu kumkosa Tundu...
2 Reactions
18 Replies
553 Views
Ni kosa kubwa na la kiufundi wajumbe wa mkutano mkuu wa Taifa kumchagua mtu kuwa mjumbe wa Kamati Kuu wakati Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA yeye tayari ni Mjumbe wa Kamati kuu mpaka Kufa, hili...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Aisee kumtetea huyu mmiliki wa CHADEMA ni kazi ngumu sana. Haina tofauti na kuwatetea single maza na polisi. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi kiasi kwamba wapinzani...
14 Reactions
120 Replies
4K Views
WAKATI MAJIMBO NA MIKOA HAMPATI HATA LAKI MOJA YA KUWASAIDIA KWENYE KAMPEINI KUJENGA CHAMA, MAKAO MAKUU TUMEGAWANA ZAIDI YA MILIONI MIA NNE KUTOKA KWENYE RUZUKU Nawasalimu wakubwa Viongozi na...
22 Reactions
42 Replies
2K Views
HAWA WOTE WALIONDOKA CHADEMA KWA SABABU YA MBOWE WAKATI BAADHI WAMEAHIDI KUREJEA CHADEMA KAMA MBOWE ATAFURUSHWA KWA KURA. Prof. Safari Dr. Wilbroad Slaa Dr. Vicent Mashinji Zitto Zuberi Kabwe...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
LISSU AMESHINDA KABLA YA KUSHINDA Kwakutumia Elimu yangu ya Sayansi ya siasa Leo natoa facts tano (5 ) tu kuonesha tayari Lissu ni mshindi hata kabla ya kura, 1. Uchaguzi wowote ni namba...
41 Reactions
127 Replies
5K Views
Kuna mambo tunaweza kubishana pengine ili kulinda itikadi au falsafa zetu ila kamwe hatuwezi kubishana ili kulinda uhalifu na uovu mkubwa kwa kiwango hiki kwenye taasisi kubwa kama CHADEMA...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
1. Kwa sasa! Tundu Lissu anatosha ili aje aisuke upya Makao Makuu ya CHADEMA maana imeyumba sana! 2. HQ ya Chama chetu inaendeshwa kimazoea sana; watu wenye fikra pevu hawawezi kudumu na...
27 Reactions
75 Replies
4K Views
AMEANDIKA REMIGIUS AFISA WA IT CHADEMA MAKAO MAKUU Secretariat ya Chama Makao Makuu ilizuia majimbo 78 yasipewe printer bure, Laptop 254 na Video Camera 10 . Twende pamoja; Ndugu Mwanachama na...
27 Reactions
86 Replies
3K Views
CHADEMA tangu kuanzishwa kwake imekuwa ikipewa nguvu zaidi na Wafuasi na mashabiki Wala sio wanachama wa chama hicho au Viongozi ambao kimsingi ni chini ya 10% Kitu pekee CHADEMA wanapashwa...
8 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila...
22 Reactions
81 Replies
3K Views
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo. Wakili Jebra Kambole...
40 Reactions
143 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…