Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Habari wana bodi, Hii ni shule ya serikali inayosimamia na TAMISEMI iliyopo Jiji la Arusha. Sisi wazazi na jamii nzima tunaelewa na tunapewa elimu mara kwa mara na mamlaka mbalimbali za serikali...
0 Reactions
9 Replies
432 Views
vitendo vya kudhalilishana, kutukanana na kuvuana nguo za ndani hadharani ni ushahidi tosha kuwa Chadema bado haijakomaa. Uchaguzi wa ndani tu wanaumbuwana na kutukanana hadharani, je Wakipewa...
1 Reactions
11 Replies
204 Views
Salama! Tangu dakika ya Kwanza Mpaka sasa Tupo dakika ya 80 Mbowe hajapewa nafasi ya kulikaribia lango la Lisu. Anashambuliwa non-stop, kwa kweli hiki kipigo kama asingekuwa mzoefu angekuwa...
23 Reactions
73 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwa nafasi ya Mwenyekiti unatarajiwa kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa. Kulingana na kanuni za...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kwamba? Ila mdahalo wameukimbia? Kwani mahuku-taabu lini waliwahi kumpenda au kumtakia jema? Ukweli mchungu: "kunguru hategwi au kushawishiwa kwa maharage makavu!"
1 Reactions
2 Replies
220 Views
Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Binafsi sikutegemea kama bwana Odelo angekuwa na hoja nzuri namna hii Ameshusha Nondo nikasema kweli, ana hekima sana Nimempima Kwa mambo yafuatayo 1 Kutofautisha Maandamano na matembezi Kwamba...
0 Reactions
4 Replies
364 Views
Kwamba mdahalo wameukimbia? Kwani Nchimbi walisema je? Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini? Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana? Viva CDM...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Hakika CCM ni chama kubwa sana. Lakini ninawaza tu kuwa: 1. Bila wasanii ni wazi kikao kingefanyika 2. Bila wasanii wengi CCM kwa ukubwa wake itashinda tu kwenye uchaguzi wa mwaka huu tena kwa...
1 Reactions
1 Replies
149 Views
Nimefurahishwa sana na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bawacha. Kwa kweli unaonyesha ukomavu wa Baraza hilo maana wagombea wote wanastahili hiyo nafasi. Baada ya uchafuzi unaoendelea katika uchaguzi wa...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu! Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama. Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya...
2 Reactions
11 Replies
859 Views
Wanajukwaa! Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi...
1 Reactions
7 Replies
391 Views
“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma. Hakika Mbowe anapendwa mpaka...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Freeman Aikaeli Mbowe, aka Saluti ya Zege, kwa wanasiasa wengine amekuwa mwalimu na mkufunzi wa siasa za Bongo. Kati ya wanasiasa wengi, nadhani watamkumbuka kwa mafundisho yake. Aliwafunza...
0 Reactions
6 Replies
244 Views
Mambo yamezidi kuchangamka! Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA ========== Wakati uchaguzi wa baraza la...
2 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwanza nianze kwa kudkrea interest Mimi ni mwachadema kindaki ndaki nilitejiunga na chama Cha demokrasia na MAENDELEO Mwaka 2011 nikiwa chuo kikuu Mwaka wa kwanza. Wakati tunajiunga tulikuwa...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Wenje na Lema wote walienda Canada kukimbia ugaidi wa wapinzani enzi za Magufuli Lema alienda tena akiwa na madeni mengi Tanzania aliweza kufanya online trading za forex na coins akapata pesa na...
0 Reactions
3 Replies
252 Views
Miaka yote tumwona na kusikia CHADEMA ikipiga kelele dhidi ya serikali kutumia polisi kwenye chaguzi mbalimbali za Taifa letu. Fafanuzi mbalimbali kutoka kwa viongozi waandamizi wa CHADEMA namna...
2 Reactions
4 Replies
469 Views
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutudhihirishia yale ambayo wazalendo wa nchi hii tuliyotabiri na kuyaamini. Upinzani wa nchi hii bado ni mchanga na CCM inatakiwa kuendelea kuulea hadi ukue...
0 Reactions
7 Replies
181 Views
Fadhila mfadhili mbuzi. Huyu jamaa angekuwa moja kati ya wasanii mabilionea, kaingizwa chaka akaingia CHADEMA. Yuko karibu kufilisika, na CHADEMA hawamualiki katika mikutano yao walau apate chochote
1 Reactions
10 Replies
442 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…