Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Kuna nchi zilishawahi kuingia katika misukosuko ya kisiasa lakini hatimaye zilikuja kutukia. Rwanda ni mojawapo. Kwanini imekuwa tofauti nchini Congo DRC? 1. Tatizo ni uongozi? Angepatikana huko...
15 Reactions
181 Replies
3K Views
Kwa Sasa Nguvu za Freeman Mbowe zinataka kuimeza na CCM Je huyu ndio Rais wa JMT mtarajiwa? Kwako Uncle Makongoro Nyerere 😂 Sabato Njema 🌹
6 Reactions
30 Replies
841 Views
Kwa miaka ishirini na moja, umetutumikia, Katika dhoruba na mawimbi, haukutetereka, CHADEMA umekijenga, ukakifanya ngome, Freeman Mbowe, bado tunahitaji huduma zako. Busara zako ni taa...
3 Reactions
21 Replies
339 Views
Wagombea uongozi wa CHADEMA wanafanya sana midahalo. Mimi nimewapenda sana kwa kufanya hivyo. Ninachokiamini ni kwamba, CCM walivyo waoga, hata ukimwambia mgombea ubunge wa CCM afanye mdahalo na...
13 Reactions
31 Replies
952 Views
Inawezekana kabisa unapitia kipindi kigumu cha Kihisia, kijamii ,Kisiasa !! Inawezekana kabisa katika kipindi hiki , mawazo mengi ,mashauri mengi yanakupata ,huenda unasukumwa Kuomba msamaha ...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Msikilize huyu, halafu useme kama wenye akili wanaweza kumwamini kesho na keshokutwa
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa ! Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?. Sasa Ukiwa Waziri...
11 Reactions
68 Replies
4K Views
Anza na “Mwamba…” ILANI: Msiwe siriasi sana jamani. Ila, pichani ni Freeman Mbowe (CHADEMA) akiwa na Kijah Yunus (CCM/Clouds Media Group)
4 Reactions
17 Replies
699 Views
Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA. Swali langu: Je, Lissu...
3 Reactions
10 Replies
308 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
226 Replies
6K Views
Nina uhakika, naweza kusema hivyo, kama ungelimpigia simu kuwa Dr. Slaa unahitajika kituo fulani cha polisi, angelikuja. Kwanini mnamkamata usiku wa manane .....Was there a need to arrest him at...
5 Reactions
20 Replies
647 Views
Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini? Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi...
1 Reactions
21 Replies
502 Views
Mbowe leo kadhihirisha ni Mwanasiasa Genius,smart,broad,wise,mtulivu na Mvumilivu sana.Nimeangalia Interview nzima ni as if alikuwa anaprove ni kwa kiasi Gani Level yake ya kisiasa ni ya juu sana...
20 Reactions
76 Replies
3K Views
Meya wa zamani wa Ubungo ambaye ni Team Mbowe Uchaguzini amevunja ukimya na kumsifia Dr Slaa Boniface Jacob aka Boni Yai amesema Dr Slaa ni Mtu MWEMA sana Kwa Siku tulipokuwa mahabusu ya Mbweni...
8 Reactions
48 Replies
2K Views
Nimekwazika sana baada ya kufuatilia Mdahalo wa Wagombea wa BAVICHA kuona wanashambulia Maridhiano kwamba hawakubaliani nayo na mambo mengine ya kijinga waliyoongea kuonyesha upeo mdogo sana wa...
5 Reactions
16 Replies
464 Views
MAKONDA, GWAJIMA USO KWA USO KWA KARDINALI PENGO Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda pamoja na Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kawe Askofu Gwajima kwa pamoja wamemtembelea Kadrinali...
20 Reactions
223 Replies
24K Views
Chaguzi ZOTE za Chadema hugubikwa na Rushwa kubwa kubwa Sema tu this time wanufaika ni wachache ndio tunasikia haya makelele Chadema na Rushwa Sawa Uji na Mgonjwa Nawatakia Sabato Njema 😄
2 Reactions
7 Replies
136 Views
Kwenye mahojiano ya Kipindi Cha One on One Wenje ameiponda Nafasi ya makamu Mwenyekiti na kusema hainaga Fursa zozote zaidi ya kusimamia Vikao Vya Nidhamu Wenje amesema Cheo Cha Makamu...
0 Reactions
6 Replies
239 Views
Utafiti niloufanya katika jmbola KOROGWE MJI ambalo linawajimbe watatu wa mkutano mkuu kati yao wawili wamesema watampigia kura MBOWE
0 Reactions
0 Replies
95 Views
Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani? Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
5 Reactions
79 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…