Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Huyu jamaa anayejiita Kijana Mzalendo amethibitisha uzalendo wake kwa kuweka siasa za maji taka pembeni na kujikita kwenye siasa za Tija. Ameongea mambo mengi Muhimu sana kuhusu siasa za Tanzania...
3 Reactions
15 Replies
444 Views
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani...
6 Reactions
30 Replies
531 Views
Inawezekana sijui kwa usahihi tafsiri sahihi ya neno uzalendo. Lakini najua dhima mojawapo ya kuwepo kwa mafunzo ya JKT ni kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania! Hilo lengo limefikiwa? Mimi...
0 Reactions
3 Replies
179 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo, Abdul Nondo, anatoa tamko muda huu kuhusu kutekwa kwake Stendi ya Magufuli. Fuatilia hapa akitoa tamko lake...
3 Reactions
18 Replies
855 Views
Wale walenga shabaha(snipers )baada ya kushindwa kumuua Tundu Lissu ,alipelekwa hospitali ya General kwa matibabu. Mnaidhani wale sio sniper refer Donald Trump alipunyuliwa nywele badala ya...
57 Reactions
203 Replies
6K Views
"....vikao vya Kamati kuu vinavyotarajia kukaa hivi karibuni kwa minajili ya kuteua Wagombea pamoja na mambo mengine M/kiti anataka kupendekeza Tundu afukuzwe." "...hivi ninavyozungumza, mwamba...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hivi kwa miaka 21 Mwamba Mbowe hakuna Kazi zinazoonekana alizofanya kwa manufaa ya Chama ama Nchi? Kwanini msitumie hizo Kazi zake au mafanikio yake kama msingi wa kampeni na yeye akapumzika tu...
0 Reactions
12 Replies
190 Views
"....Lazima tujiulize, tumewakosea wapi WANANCHI hadi kupelekea hawaiamini tena Chadema?" "....mfano, imefikia M/kiti akiitisha maandamo anaye jitokeza ni binti yake na yeye peke yake-kwanini?!"...
4 Reactions
18 Replies
702 Views
Huu ujumbe unamuhusu ye yote mwenye access ya kuingia kwenye mikusanyiko inayowakutanisha watawala wakuu wa Afrika! Siku watakapokutana, naomba uwazamomee na kuwaambia wanalitia sana aibu bara la...
1 Reactions
0 Replies
95 Views
Tumekuja shtuka mwenyekiti kila akihojiwa anaelezea jinsi ambavyo amemsaidia Lissu. Kila akihojiwa anaeleza amefanya mangapi kwa Lissu. Na anaeleza ametoka wapi na Chama. Sera zake kuu ni 1...
0 Reactions
1 Replies
211 Views
Mwenyekiti wa ngome ya vijana akizungumza na waandishi wa habari leo January 9,2025 amesema kuwa “Naomba niwaambie watanzania suala la ulinzi na usalama ni jambo ambalo tunapaswa tuungane kwa...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo akizungumza na wanahabari leo januari 9, 2024 amesema kuwa “kumekuwa na mwanya wa dhihaka na propaganda kwamba matukio haya ya utekaji sio ya ukweli...
0 Reactions
0 Replies
137 Views
Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa. Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the...
10 Reactions
67 Replies
2K Views
Katiba ya CCM haina kipengele chochote kinachoweka ukomo wa muda wa mtu kuwa katika uongozi. Na katika sehemu inayotaja mwenyekiti wa taifa hakuna ukomo. Kwa kuwa suala la kukosa ukomo...
14 Reactions
138 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Abdul Nondo akiongea na wanahabari leo, amesema kuwa baada ya kutekwa na kuteswa na baadaye kutelekezwa Coco beach wilaya ya Kinondoni, alipewa...
5 Reactions
20 Replies
934 Views
Kuwa kiongozi mkuu wa chama Cha siasa ambacho ni active kama ilivyo Chadema, ni muhimu sana. Ukiacha kufanya tu siasa za ndani, kujua upana wa mambo ya yanayoendelea kwenye ulimwengu mwingine ni...
1 Reactions
1 Replies
158 Views
Tundu Lissu, akizungumza kupitia mtandao wa kijamii wa Clubhouse mnamo Desemba 23, 2024, alieleza kuwa endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ataweka ukomo wa ubunge wa viti maalum. Lissu alisema...
4 Reactions
10 Replies
379 Views
Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara. Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes...
0 Reactions
1 Replies
190 Views
Hii vita ya wenyewe kwa wenyewe inayoendelea ndani ya CHADEMA mimi naifurahia saaana. Naombea isiishe. Nataka iendelee ili tuyajue mauchafu yao….kutekana, kuumizana, kudanganya, kuzusha, na...
29 Reactions
122 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…