Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Kwa picha hizi tutakuwa tunakosea tukisema Tulia anatumia Watanzania masikini kama mtaji wa kisiasa? Kuna haja gani ya kuwasaidia hawa watanzania kama huo msaada unahusisha makamera na...
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na...
10 Reactions
124 Replies
4K Views
Mzazi anasema mimi naenda mahala fulani msitoke hapa niwakute mnaangalia TV. Mzazi huyu anaongea ilimradi tu bila kujuwa madhara ya watoto kukaa muda mrefu. Nyumba za sasa choo nazo ndani...
2 Reactions
5 Replies
301 Views
Jana katika kipindi cha medani za siasa kinachorushwa Star TV chini ya matayarishaji Chief Odemba, bw. Yericko Nyerere ambaye ni Kada wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akiweka wazi...
0 Reactions
6 Replies
657 Views
Katika kipindi hiki ambacho nchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, ni muhimu kwa vyama vya siasa kuangalia upya katiba zao ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu wa shughuli zao...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu. Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine. Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka...
12 Reactions
119 Replies
4K Views
Wajumbe wengi wa Kamati Kuu ya CHADEMA wameonesha kukereka sana na baadhi ya mambo yanayoendelea kwenye Mitandao ya Kijamii hasa kwa wale Viongozi wanaojiita ni Wafuasi kindakindaki wa...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Mzee huyo anasema Rais Mwinyi kwa miaka 60 iliyopita hajatokea kama yeye, ameongeza kuwa shida yake ni maendeleo na aliamini kuwa wakipata uongozi mpya basi watayapata, lakini bahati mzuri hayo...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Wagombea na Wapambe wa wagombea chadema wamekuwa zaidi wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari! Kwa mustakabali wa maendeleo ya chama CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Unapomhitaji mtu awezeshe jambo lako, mtu unayemwona ni raslimali ya ufumbuzi wa tatizo lako, unaweza kulazimika kuwa na sura ya uungwana bandia. Mshunuzi Carl Jung aliuita uungwana huu...
1 Reactions
0 Replies
86 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki...
11 Reactions
123 Replies
5K Views
Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje. 1. 2 3 4
15 Reactions
154 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli zake alizotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Royal Tour ni Brand ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa ameifanya kutangaza utalii. Royal Tour imekuwa ya mafanikio makubwa. Changamoto kubwa inayoonekana wasaidizi wake hakuna juhudi za...
2 Reactions
4 Replies
552 Views
Nadhani kwa hali ilvyo sasa mabadiliko hayakwepeki , Tundu lissu kaonesha nia na uthubutu kwa Nchi yetu . Kuna haja ya kumuunga mkono kwa mawazo , nguvu ya umma na pesa pale itakapo hitajika...
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo. 1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Mda unavyoenda CHADEMA inazidi kuwa mahututi,ingawa Mbowe atashinda kwa kura za kutosha kutoka kwa wajumbe lakini wanachama ambao ndo wengi hawana imani tena na CHADEMA chini ya Mbowe. CCM...
2 Reactions
9 Replies
403 Views
Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya...
10 Reactions
83 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…