Akihojiwa na BBC Swahili, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewashangaa wanaodai kuwa hafai kuongoza hata Mtaa wakati kitambo kidogo alifaa hadi kuwa Rais (Akapewa dhamana ya kugombea...
Mpo salama!
Tumeona kinachotokea Korea ya Kusini. Rais wa Korea Kusini alivyowajibishwa.
Mbowe asidhani kuwa kwa vile yeye ni mwenyekiti hawezi kuchukuliwa hatua zozote ikiwa itabainika...
Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana"
Akajua haya manyang'au yanajisemea...
Nilishutushwa niliposikia hospital kubwa ya cancer Marekani MD Anderson ambayo ipo Houston Texas inafanya uchunguzi ni kwanini kuna mpasuko mkubwa wa cancer hasa za Tumbo kanda ya ziwa hasa mkoa...
Kuna mijadala mingi imeshika kasi kuelekea uchaguzi wa CHADEMA hususan nafasi ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti, kuna kambi kuu mbili ya mwenyekiti anayeenda kutetea uenyekiti wake mwamba Freeman...
Wale wasoma maandiko mnaelewaje hii?.
Kwenye Biblia tunajifunza kwamba Joshua alikaa miaka zaidi ya arobaini akiwa msaidizi wa Musa ila hata siku moja hakutaka ukuu. Iweje leo Lissu ana force...
Baada ya uchaguzi Mozambique: SADC inatoa wito wa kujizuia na mazungumzo ya "amani".
02 Januari 2025
Picha ya faili: AIM
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) jana ilihimiza kujizuia...
Habari zilizonifikia ni kuwa polisi wamezingira Hotel ya Key's ambapo mahafali ya Chaso yanafanyika
UPDATES:
Polisi wamevamia Ukumbi wa hotel ya Keys Moshi na kutawanya wanafunzi wa CHASO...
Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM
Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama...
TAARIFA KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI MITANDAONI (SOCIAL MEDIA CONTENT CREATORS) YANAYOHUSU BIDHAA ZA CHAKULA
Dar es Salaam, 08 Januari, 2025
Hivi karibuni, Shirika la Viwango Tanzania (TBS)...
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi...
Binadamu hasa hawa vijana wanasahau kila siku. Kama Rais Samia asiko tumia muda wake vizuri kwa mambo yanye faida na historia za kitafia atabaki ya majumba na pesa kwake na familia yake lakini...
New York, Januari 8, 2025 – Kampuni ya Thomson Reuters Founders Share leo imetangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze kuwa Mjumbe wa Bodi yake ya Wakurugenzi, kuanzia tarehe 31 Desemba 2024.
Kampuni ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface...
Mhe. Freeman Mbowe akihutubia DIASPORA mwaka 2012.
“Ninaamini Mpo ndani ya CHADEMA leo kwa sababu kuna mambo mmeridhika nayo ndani ya CHADEMA. Nawaomba sana, siku mtakapoona CHADEMA imepoteza...
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC...
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM.
-...