Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi. Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki...
11 Reactions
289 Replies
48K Views
Mbowe yuko sahihi Kwa sababu yuko madarakani Kwa mujibu wa Katiba ya Chadema wala hajatumia nguvu kubaki madarakani. Kama 90% ya wanachadema ni mbumbumbu wasioweza kujiongoza ni Sahihi kabisa...
2 Reactions
5 Replies
181 Views
Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa...
8 Reactions
109 Replies
4K Views
Nimesoma kitabu chake. Nimecheka sana. sana. na nika conclude mwaka huu jamaa agombee tu Urais. Jamaa ana mambo ambayo yanafaa kabisa kuwaongoza Watanzania. Nashauri mwaka huu tusifanye makosa...
2 Reactions
2 Replies
285 Views
Januari 5, 2011 haitakaa isahaulike kwa wapenda demokrasia wote duniani kwa kilichotokea Arusha. Maandamano ya CHADEMA yalizimwa kwa nguvu kubwa na jeshi la polisi hadi kutokea maafa ya watu...
0 Reactions
6 Replies
338 Views
Na:Abdull Najad Faiq Zote Tanzania bara na Zanzibar linapokuja jambo ambalo lipo ndani ya orodha ya mambo ya Muungano, huwakilishwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndio Serikali...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Desemba 17, 2017 Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM). Amesema watu hao wanampigia...
7 Reactions
131 Replies
7K Views
Kampuni tanzu ya Barrick Gold Corp. inasema inapoteza mamilioni ya dola kutokana na “uvamizi haramu na hatari” unaofanywa na wakazi wa vijiji wa Tanzania, ambao mara nyingi huwa na silaha kama...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza Watumishi wa Umma na Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura...
0 Reactions
2 Replies
242 Views
Mara nyingi unapenda kumtaja kiongozi wa nchi' Mama Abdul 'huyu mama Abdul hana jina? Kama ana jina unaogopa kitu gani kama unachozingumza ni sahihi? Nadhani unatakiwa kubadili siasa zako za maji...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Akizungumza kupitia Clouds TV, Yericko Nyerere amesema: "Kwa mujibu wa muongozo wa CHADEMA toleo la 2012 mgombea Lissu si hilo la rushwa ambalo linatafsirika amevunja muongozo, yako mengi zaidi...
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Ni swali la ufahamu, nimehisi ana siri nyingi sana pale CHADEMA na aliwahi kutupa taarifa za Ben kuwa anaendelea na kazi
0 Reactions
7 Replies
476 Views
Mbowe alidhani akitumia ile Mbinu yake ya kidalali ya kubadilisha GIA angani na kumleta Wenje agombee umakamu Mwenyekiti Ili Tundu Lisu akimbie chama kama alivyokimbia Dr Slaa 2015 baada ya...
18 Reactions
44 Replies
1K Views
Kinachoendelea Chadema Kwa sasa Siyo demokrasia bali ni ushamba na upuuzi mtupu Viongozi wanatukanana kana kwamba hawana familia makwao Mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa na wajumbe 1200 tena Kwa...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Hatimaye alikuwa kimya sana tangu ameteguliwa lakini sasa January Makamba ameibuka kwenye kampeni za kuwanadi wagombea wa chama chake CCM ===================== Mbunge wa Jimbo la Bumbuli ambaye...
0 Reactions
15 Replies
617 Views
Hata baada ya yule "Herode" aliyewatishia katika Nchi ya ahadi kufa, Bado familia hizi zimefichwa Ubelgiji na Canada. Na mara nyingi, kukitokea Hali ya hewa isiyo nzuri nchini, mabwana Hawa...
-1 Reactions
2 Replies
193 Views
Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma...
33 Reactions
428 Replies
20K Views
Ikiwa ni Chombo cha Habari cha Kimataifa au cha Tanzania, au hata kama wewe ni mtu Binafsi, ukitaka Mdahalo na Wagombea wa Chadema kuelekea uchaguzi wao wa ndani, basi wala si kazi ngumu, Nenda...
7 Reactions
44 Replies
1K Views
Huyu Ndiye Pombe Magufuli: - Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe - Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli...
28 Reactions
286 Replies
43K Views
Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kudai mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo haudhurii vikao, mbunge huyo amesema suala hilo linahitaji elimu kwa sababu yeye ni mbunge...
11 Reactions
89 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…