Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

1. Kwanini TAKUKURU wanawachekea Trafiki wala rushwa barabarani? Mbona kuwakamata ni kazi rahisi sana? 2. Ambush ya mwezi mmoja (kuwakamata, kuwaonyesha hadharani na kuwapeleka mahakamani)...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa...
1 Reactions
11 Replies
383 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Mohamed, ameshiriki kikao muhimu cha wadau wa biashara ya nafaka pamoja na AMCOS kilichofanyika tarehe 27 Januari 2025 katika...
1 Reactions
4 Replies
216 Views
Wakuu Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Redirect
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda akifanya utambulisho wa wabunge wa mkoa huo amemuuliza, Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo huku akisisitiza huenda amekaa jukwaa la wananchi wa kawaida...
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Huyu Katibu Mwenezi wa BAWACHA bila shaka alikuwa ni Team Mbowe, Yaani kweye speech nzima kamtaja Mbowe tu, Lissu kamtaja mara moja tu tena huko mwishoni. Lissu na kamati kuu CHADEMA...
0 Reactions
9 Replies
404 Views
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa...
4 Reactions
8 Replies
445 Views
Wanabodi, Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, katika safari ya kuelekea usawa wa kijinsia, kuna wanawake wengi wenye sifa na uwezo, lakini wamenyimwa fursa za kushika nafasi za juu kisiasa kutokana...
7 Reactions
98 Replies
10K Views
Thought-stimulating threads hazitakiwi. Leta ujinga ujinga utakuwa spared! futa na hii as usual
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Kama ni kweli makomandoo walizuia wazee walioambatana na mbuzi kuingia uwanjani.... Kama kweli polisi walishindwa kuwadhibiti makomandoo.... Kama kweli hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Ni Muhimu sana kwa viongozi wa Nchi kuheshimu Sheria walizoziweka wenyewe kwa matakwa yao. Hii ni kwa sababu hatukuwalazimisha kuziweka, na ili sheria hizo ziheshimiwe na Wananchi wote basi ni...
2 Reactions
20 Replies
336 Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia. Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Hawa watu nimeona wanasaga soli za viatu wakiwa na makada wa chama wa CCM wilaya na mkoa, hawana posho wala mishahara na ndio engine ya utekelezaji wa ilani yetu ya uchaguzi!! Ni lini Serikali...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Ndio ndio,mtu hawezi Ua mlemavu wa ngozi Ili awe mwalimu,Daktari,polisi,profesa au kupata profession yoyote ile Bali Kwa Imani za kishirikina anaua ili apate kazi yenye pesa nyingi kama...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Wakuu, Yaani mpaka Oktoba inafika tutaona zawadi na manjonjo mengi kutoka kwa hawa wanasiasa. Hii ni rushwa au zawadi? ===================================================== Meya Mstaafu wa...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Legacy inazidi kuzamishwa chini zaidi. Mwendazake alikuwa wa hovyo sana ==== Aliyoandika Kabendera Wale mliouza mali zenu kupata pesa za kuhonga kusaidia plea bargain zenu zikubaliwe mjitokeze...
76 Reactions
471 Replies
30K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema BAWACHA, Sharifa Suleiman, amesema kuwa tarehe 8 Machi baraza hilo linatarajia kudhimisha siku ya wanawake Dar es Salaam. Hayo ameyasema leo tarehe 23...
5 Reactions
15 Replies
616 Views
Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA limewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8, 2025, katika...
1 Reactions
5 Replies
223 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mwanza umeunga mkono Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) na kuitaka serikali kutoa ajira. Soma Pia: Walimu wasio na Ajira (NETO)...
4 Reactions
24 Replies
689 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…