Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini...
2 Reactions
2 Replies
259 Views
Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda...
1 Reactions
6 Replies
260 Views
Simjui hata jina ila huyu mpambe anatakiwa kuwa na sura ya kazi. Kwenye tuzo za comedy alikuwa akicheja cheka. Juzi tena kule Tanga ziarani,alionekana akitabasamu baada ya yuke binti kukalia...
3 Reactions
84 Replies
3K Views
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya. Aidha...
5 Reactions
17 Replies
664 Views
Katika nchi nyingi za Afrika, hususan Tanzania, viongozi wa serikali mara nyingi hujifanya wanakemea ufisadi lakini kwa uhalisia hawawezi kupambana nao. Huu ni unafiki wa kisiasa unaolenga...
2 Reactions
6 Replies
157 Views
Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni...
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya...
7 Reactions
9 Replies
302 Views
Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya...
1 Reactions
5 Replies
229 Views
Chagua uitakayo Na nyingine hii Mungu akujazie Patakapopungua, Amina
10 Reactions
36 Replies
953 Views
Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa...
3 Reactions
32 Replies
870 Views
Hellow Tanganyika! Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo. Sasa...
11 Reactions
109 Replies
3K Views
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano...
15 Reactions
34 Replies
1K Views
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna miradi ni jukumu la serikali kuibeba hasa ile inayohusu kuhudumia wananchi mfano barabara, hospitali, kusambaza umeme, maji na mingine kama hiyo hiyo ni jukumu la serikali kuitekeleza Kuna...
2 Reactions
9 Replies
206 Views
Taifa lolote nguvu yake ipo ktk idara zake nyeti za usalama. Kwa upeo wangu na kile nakiona kuna kila haja Taifa letu kuwa na macho ya ziada ktk idara nyeti yetu ya siri pamoja na kufanya maamuzi...
18 Reactions
56 Replies
2K Views
https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
0 Reactions
5 Replies
120 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimepata na kupokea Maswali Mengi sana kutoka kwa watu mbalimbali mitaani kuniuliza juu ya sababu ya Mzee Omary Mchengerwa Baba Mzazi wa Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya...
1 Reactions
3 Replies
145 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…