Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Mr. Naibu waziri mkuu na Waziri wa nishati, safisha shirika lako la tanesco. Hamna mtaalamu wa IT? Ebu tafuta deni la kodi ya Jengo uone majibu yake kwenye website ya shirika...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi...
1 Reactions
1 Replies
50 Views
Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao. Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa...
7 Reactions
11 Replies
359 Views
according to AP, D.Trump na Israeli wana mpango wa ku clear gaza na kuwahamishia wapalestina somalia, somali land na sudan. gaza kugeuzwa kuwa “riviela of the middle east” …
0 Reactions
11 Replies
273 Views
Kampuni ya Songoro Marine ya Ilemela jijini Mwanza inakabiliwa na tuhuma za kujipatia zabuni tatu za kujenga meli katika maeneo mbalimbali hapa nchini bila kuwa na sifa zinazohitajika kitendo...
1 Reactions
3 Replies
70 Views
Tuusikilize kwa makini
4 Reactions
6 Replies
283 Views
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na...
2 Reactions
9 Replies
595 Views
MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Kennan Kihongosi amekalia kuti kavu baada ya kushindwa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya Mkoa huo na kutumia muda kujihusisha na makundi ya kisiasa ya kugombea ubunge...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
1 Reactions
4 Replies
198 Views
Mkoa wa Mwanza ni Kati ya Mikoa ambayo Rais Samia amewapendelea sana Kwa kuimiminia miradi lukuki tena ya mabilioni Kwa mabilioni. Miradi hiyo imegawanyika katika mafungu Makuu 3 ambayo ni...
13 Reactions
396 Replies
15K Views
Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Olivanus Thomas amegawa mbegu Bora na za kisasa za mihogo zijulikanazo kaa jina la Chereko, Mkuranga 1 pamoja na Tarikass 2 ili kuleta tija katika uzalishaji...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Washington Mkurugenzi wa Benki ya Dunia WB Kanda ya Afrika Dr.Zarau Kibwe amesema wao Benki ya Dunia Wanaitambua Tanzania Kama Nchi inayoendeshwa Kwa Ufanisi zaidi barani Afrika. Bwana Kibwe...
2 Reactions
11 Replies
277 Views
Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Swali: Kama umeme unapoteza na kulea hasara Kwa sababu ya kuusagirisha Kwa mda mrefu,Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu? Pia soma Zambia kununua...
12 Reactions
89 Replies
2K Views
Na huu ndio ukweli unakutana na mtu hajui chochote Cha maana zaidi ya mambo ya kijinga yasiyo na msingi na ndio sababu wengi wanatumiwa na wajanja kujinufaisha. On top of that ujinga wa...
2 Reactions
27 Replies
425 Views
Katika ukurasa wake wa tweeter X Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-Cetre Tanzania Bw. David Kafulila amesema, kauli ya Rais Samia kufungua nchi kwenye takwimu za kiuchumi inaongea kwa sauti ya juu zaidi...
34 Reactions
258 Replies
5K Views
Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la...
45 Reactions
209 Replies
8K Views
  • Redirect
Habari! Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu. Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao...
29 Reactions
Replies
Views
Ukiangalia utendajikazi wa marais waliopita na kona za nchi walikozaliwa na kukulia, utaona wazi kwamba kuna maeneo ya nchi hii hayastahili kabisa kupewa nafasi ya urais. Hili siyo suala la...
9 Reactions
14 Replies
483 Views
Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amenyamazisha simulizi za kukata tamaa zilizotolewa na Vijana wengi waliokosa fursa ya kujiendeleza kimasomo, kutokana na ukosefu wa Vyuo vya...
2 Reactions
8 Replies
193 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…