afrika

  1. L

    Karne ya 21 kushuhudia maendeleo ya pamoja na ufufuaji wa China na bara la Afrika kupitia FOCAC

    Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande mbili za ushirikiano kuwa zingativu ili kuimarisha zaidi uhusiano kati ya China na Afrika. Kwenye...
  2. Nchi gani Afrika ambayo inakimbiza mwenge hadi leo kama sisi?

    Naomba wazee wa jamiiforums wanijibu hili swali hasa wale wenye vinasaba na CCM. Je, ni nchi gani Afrika hasa zile za kijamaa zilizokuwa na urafiki na Mwalimu Nyerere mfano Zambia, Zimbabwe, Angola nk ambako wanakimbiza Mwenge mpaka leo? Mbali na hilo hata bajeti ya kukimbiza chuma lile...
  3. Nchi za Afrika zinazoshindwa kutoa pesa kwa Paypal

    Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa inaweza kubadilika muda unavyozidi kwenda kutokana na mabadiliko katika mazingira ya udhibiti, ubia na...
  4. Masoko makubwa ya Hisa barani Afrika

    Kwa wengi wetu neno hisa ni neno tuliloanza kuliskia tangia udogoni,lakini hata hatuelewi lina maana gani,,,Hii ni kutokana na serikali kutoiweka elimu hii muhimu katika mitaala na kutupatia elimu ya kujua wapi kuna fuvu la kale,dah,, Soko letu la hisa linajitahidi kujipambanua japo kwa...
  5. Afrika Kusini: Raia wakataa Mrembo mwenye asili ya Nigeria kuwania Miss South Africa

    Mashindano ya Urembo yamezua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni Waaandaaji wa Mashindano ya Miss South Africa wamethibitisha kuwa Chidimma ni Raia wa Nchi hiyo na...
  6. Ripoti FAO: 64.8% ya Watu barani Afrika hawana uwepo wa kupata Chakula Bora

    RIPOTI: Shirika la Chakula na Kilimo (FAO) limesema Robo Tatu ya Idadi ya Watu katika Bara la Afrika hawana uhakika wa kupata Lishe Bora Kwa mujibu wa Ripoti ya FAO, Takriban Watu 864 duniani hawana uhakika wa Kupata Chakula Bora ambapo Bara la Asia ni Milion 467, Afrika Milioni 316, Marekani...
  7. L

    Matunda ya FOCAC yawafanya viongozi wa Afrika kuwa na matarajio makubwa na mkutano wa Beijing wa mwaka huu

    Wakati Beijing ikiwa inaendelea na maandalizi yake ya mkutano mpya wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambao unatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 4 hadi 6 mwaka 2024, viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika wameonesha kuridhishwa na wamekuwa na imani kubwa juu ya ushirikiano...
  8. Tunaelimishana na Tunakumbushana tu kama 'Wanamichezo Wanaojielewa' na siyo 'Wanamichezo Washamba na Majuha' waliopo Afrika na Duniani

    1. Kaizer Chiefs ya jana na ya sasa siyo ile yenyewe kwani bado Inajitafuta 2. Kaizer Chiefs ya sasa ( ya jana ) bado inajikongoja kwa miaka / misimu karibia saba 3. Kaizer Chiefs ya jana ( ya sasa ) ilikuwa na takribani Wiki moja tokea Wachezaji wajiunge kwa Pre Season 4. Kaizer Chiefs ya jana...
  9. Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la pili la umoja wa mataifa kuhusu utalii wa vyakula vya asili barani afrika

    Na Mwandishi Wetu- Zimbabwe Tanzania inatarajiwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Pili la Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani (UN Tourism), Kanda ya Afrika kuhusu utalii wa vyakula vya asili katika Bara la Afrika kwa mwaka 2025. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa...
  10. Nani ameiroga Afrika, Zimbabwe imetuma wanamichezo 9 na viongozi 67 Paris kwenye mashindano ya Olympics

    Wakati wakipita juu ya mto wakiwa kwenye boti kila mmoja alijiuliza mbona wengi sana baadaye inatoka taarifa kuwa wanamichezo ni 9 na ma-afsa wa serikali kutoka wizara mbalimbali ni 67 na watakaa kwa siku 16 zote za olimpiki hapa paris. Sijajua Bongo aka nchi ya kitu kidogo tumepeleka wangapi...
  11. Hakuna uwajibikaji Afrika

    Abraham Lincoln-democracy is a government of the people, for the people by the people. Ludovick Uttoh- maoni yake kusema kuwa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja serikalini. (Sijakopi kama ilivyo) Tanzania kila kitu kina fanywa na rais hata kama kimefanywa na mtu mwingine na yeye anapenda. Mfano...
  12. W

    Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  13. Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    Huwa najiuliza kabla Wakoloni kwa maana ya Wazungu na Waarabu kutuletea dini wakitumia wafanyabiashara, wamishenari na wapelelezi, (traders, missionaries and explorers), wazee wetu huku Afrika waliabudu katika dini gani? Je kwakuwa dini za kigeni hazikuwepo ina maana watu wote walioishi nyakati...
  14. Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  15. Trump apokea rasmi tiketi ya Republican Party. Alaani wavamizi kutoka kwenye majela ya vichaa Venezuela, El Salvador, Afrika, wanaokwend kuharibu USA

    Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa. Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
  16. L

    Hatua ya China kuanzisha program ya watoto wa China na Afrika ni uwekezaji mzuri wa kudumisha urafiki kati ya China na Afrika

    Watu wengi wanaamini kwamba maisha yetu ya baadaye yapo mikononi mwa watoto wetu. Ndoto zao zitajenga dunia ambayo tutaishi kesho, na matendo yao, mawazo yao, na maadili yao yatajenga mwelekeo wa jamii. Kwa hiyo, tukiwa kama watu wazima, ni jukumu letu kuwaongoza katika mwelekeo sahihi. Pia ni...
  17. L

    Kwa nini Afrika inafuatilia Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC?

    "Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania na Profesa wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  18. Hivi kuna Aunt mzuri hapa afrika mashariki kama Queen Masanja?

    Hivi huyu Queen MASANJA ni msukuma? Toto limeiva Sana aisee Sina maneno mengi picha inaongea
  19. Nchi gani ya Afrika umeiona hapa?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…