ajali

Mozaffar Ajali (Persian: مظفر اجلی‎, born 30 December 1962) is an Iranian weightlifter. He competed in the 1992 Summer Olympics.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    BUS LA MWENDOKASI LAPATA AJALI

    Basi la mwendokasi limepata ajali baada ya kuacha njia na kuvamia jengo la jmall Bahati mbaya nimeshindwa kupata picha.
  2. Ajali ya Mwendokasi na Range Rover Mtaa wa Kisutu na Samora

    Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
  3. Ajali ya Mwendokasi yaua eneo la Urafiki

    Muda huu saa mbili ahsubuhi tarehe 11 June 2024, nimepita eneo la Urafiki jirani na Shekilango nikiwa ktk Mwendokasi kwenda Kimara, basi nililopanda lilipofika mataa ya Urafiki limechepuka kutoka njia yake na kupita barabara ya kawaida. Tumeenda mbele tunaona kuna umati ktk brbr ya mwendokasi...
  4. Fundi magari apata ajali

    #HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke. Mashuhuda wa ajali hiyo...
  5. Kwanini ndege za Abiria hazina "Ejection Seats" kama ndege za kivita kusaidia kuokoa maisha ikitokea ajali?

    Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka. Kwahiyo rubani ata activate mechanism ya kueject, sehemu ya juu ya ndege itafunguka na kisha seat...
  6. C

    SoC04 Hisia za maumivu ya ajali za barabarani zinavyomezwa na maneno ''Tuko kwenye mchakato"

    Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
  7. Nimepata ajali nikakumbuka ningekuwa na bima ingenisaidia

    Ukweli mchungu gharama za maisha ni kubwa kwa sasa na kibaya zaidi ni hizi gharama nyeti za afya ni ghali sana kwa sasa nimejikuta nawaza hivi ningekuwa na Bima si ningeokoa hela ila ndio hivyo sina imenibidi nizame mfukoni kugharamia matubabu. Roho inaniuma sana kwa hizi gharama ikiwa huna...
  8. H

    SoC04 Tanzania bila ajali inawezekana

    Ajali nyingi zikitokea huwa tunasema ni uzembe wa dereva mm sikatai Kuna muda ni kweli ila Kuna muda nakata sio uzembe wa dereva Bali ni uzembe wa mmiliki wa hicho chombo.nitatoa vitu vinavyo weza kumaliza tatizo la ajali Tanzania miaka mitano mpaka kumi ijayo kama serikali ikiamua 1. Gari...
  9. Ajali ya mabasi kutokana na kutokujali kwa dereva? Teknolojia barabarani ni suluhisho pekee

    Habarini Wanajamvi wenzangu, Gharama kubwa watanzania wanazolipa kila uchwao juu ya ajali za barabarani inaleta maswali lukuki. Pamoja na jitihafa za Jeshi la Polisi, bado kuna haja ya kama Taifa tukubali kufanya mageuzi makubwa katika matumizi ya teknolojia katika jeshi hili. Takwimu...
  10. Wajue zaidi ya Marais 5 walofariki kwa ajali ya ndege

    Tukio la ajali ya Rais wa Iran, limefanya wanahistoria kupitia maktaba, na kukita taarifa zifuatazo:
  11. Watu wengi watajiuliza kuhusu Iran ajali iliyotokea ila ni wajuze kuhusu Helikopta

    Mimi nashangaa sana tena hapa kwetu kila kukicha wanaojitokeza kwa kusema wanavipaji vya kutengeneza helikopta. Helikopta sio maputo wala utani kama wanvofikiria watu wengi na usalama wake ni mdogo sana sababu balance yake inategemea uwezo wa panga zake ikishindikana basi. Idadi ya mafundi...
  12. Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

    Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na...
  13. R

    Je, upo mkono wa Israel kwenye ajali ya Rais wa Iran?

    Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza kisasi. Je, ni kweli majasusi wa Israel wameweza kuingia kwenye mifumo ya mawasiliano ya Iran? Je...
  14. Handeni: Dereva wa Bodaboda agonga bundi na kufariki

    Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
  15. M

    Ubovu wa Barabara ya Mbagala ni chanzo kikubwa cha Ajali

    Habari ndugu zangu, leo imetokea ajali kubwa Mbagala wamekufa watu zaidi ya wa 4. Ajali hii imepelekea wananchi kufunga barabara, na kuandamana kwasababu wanadai hii ni ajali kama ya 30 hivi na wamelalamika sana kwa uongozi lakini suala hili halitatuliwi, hapo kwenye video wananchi wanalalamika...
  16. SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
  17. Ikitokea ajali tunaambiwa dereva ametoroka na anatafutwa, kwanini mkiwapata hamtuambii?

    Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba wasomali na waethiopia, unasikia dreva amekimbia na watu waliokuwepo. Wakipatikana mtujuze basi.
  18. Hii daladala iliyotaka kuleta ajali msafara wa CDF iadhibiwe, haina adabu

    Aiseeee kuna mambo ambayo yakifanyika mpaka unaogopa, nipo maeneo ya Mbezi na askari wa MP wamewapigisha kwata dereva na konda wake. Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumeshauri wakampime dereva kilevi. Msafara wa CDF ulikuwa unapita lakini kabla ya kupita walisimama ma MP kadhaa kuzuia...
  19. Polisi Mbeya wamshikilia Dereva wa Lori kwa kusababisha ajali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani Uledi wa Moshi baada ya kusababisha ajali iliyopelekea majeruhi watatu. Ajali hiyo imetokea Mei 06...
  20. S

    Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mjini, zitumike vijijini ili kupungiza ajali au iweke kodi kubwa

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…