bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni bora kumiliki IST kuliko landcruiser

    Huyu mwanamke alivyo mtamu nashindwa kumuacha Nilimpendea muonekano wake, sura, umbo, urefu, rangi, pamoja na utamu wa shoo. Nikajikuta nawekeza vijisenti vyangu ili mtoto asitaabike, na aendelee kunipa shoo tamu pale ninapohitaji. Ili kuhalalisha umiliki, tukakubaliana niweke ujauzito, na...
  2. JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wenon battery je ni bora na imara ?

    Wanajamvi Naomba ushauri juu ya battery hizi nimeweka kwenye gari yangu nashangaa inatoa maji maji hapo kwenye terminals sijajua shida ni nini
  4. JamiiForums Tanzania Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Record bora za kiutendaji zinazomfanya Ridhwan Kikwete kutogusika ni zipi?

    Habari ndugu watanzania, Nimemfuatilia kitambo Sasa Waziri wa utumishi ndugu Ridhwan Kikwete, tangu achaguliwa kuwa naibu Waziri, hajawahi kushuka, ni kupanda tu, amevinjari wizara karibia zote nyeti bila kuguswa na kashfa yoyote. Ni mkimya na anajua kufanya kazi yake vyema. Alipokuwa wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Vitu gani vitatu ungekuwa na uwezo ungeviondoa kuifanya Tanzania kuwa bora ?

    Ondoa vitu vitatu kuifanya Tanzania kuwa bora 1. CCM 2. Dini 3. Machawa 4.Ushoga 5. Rushwa 6. Muungano 7. Ukosefu wa ajira 8. Gharama kubwa za maisha 9. Uoga
  7. JamiiForums Tanzania Wazo la leo: Elfu 20 ya mwanaume ni bora kuliko billion ya Mwanamke

    Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke. Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke. Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion. Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

    Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu. Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena. Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 5 kwa utawala bora Africa, ikifatiwa na Mauritius, Rwanda, Botswana na Morocco imepanda kutoka 6-5, 2026

    Nianze na kumpongeza Rais wa JMT DR SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendeleza utawala Bora nchini, Dunia Imejionea yenyewe jinzi utawala Bora unavyotekelezwa nchini na ikizingatiwa hivi karibuni USA ilitoa waraka ukisema Tanzania ni nchi salama. Narudia tena: HONGERA SANA MH. RAIS DR SAMIA SULUHU...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tunauza TV bora na za kisasa

    PENDEZESHA SEBULE LAKO NA TV KALII BEI MPYA ZA TV HISENSE, TCL SMART ZOTE NI MPYA NA WARRANTY 1YR HISENSE TV 32 L.ED....350,000 32 SMART...400,000 43 LED...550,000/- 43 SMART A4....600,000 43 SMART 4K....750,000 50 SMART A4.....800,000 50 SMART 4K...950,000 55 SMART 4K....1,000,000...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atembelea vylor, ajadili masuala ya uzalishaji wa mbegu bora

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Oktoba 23, 2026, ametembelea kampuni ya Vylor inayojihusisha na utengenezaji wa mbegu za kisasa za kilimo, ambayo zamani ilikua sehemu ya Corteva Agriscience mjini Johnston, Jimbo la Iowa, nchini Marekani. Akiwa katika kampuni hiyo ambayo pia imejikita...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na kampuni ya ALAF, kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani

    Mbali na kampuni ya ALAF ambayo watu wengi huwa wanashauri ni kampuni gani ambayo ina stahimili hali ya hewa ya ukanda wa pwani yaani Dar es salaam kuna makampuni kadhaa ambayo mafundi hushauri mfano KINGLION BATI ZA CHENGA CHENGA, BATI KUTOKA KAMPUNI YA SUNSHARE WENYE UZOEFU NA HAYA MAMBO YA...
  15. JamiiForums Tanzania Bora mji ujae bajaji na si bodaboda.

    Nilifika Mbeya niilishangaa sana wingi na vurugu za bajaji. Lakini kitu kimoja nilinotisi ni kutokuwepo bodaboda. Bodaboda ni za kuhesabu sana. Unaweza kaa barabarani nusu saa usione bodaboda ikipita. Kwa tunaokaa miji yenye bodaboda nyingi tunafahamu hatari na kero za bodaboda. Pia nimeona...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

    Je ni vema kuwa na vifaa vya kutosha vya rapid hiv test gheto then upige kavu. Au bora kutumia condom bila tetesi Naomba msaada wa mawazo katika hili. Natanguliza shukrani
  17. JamiiForums Tanzania Nimeona ni bora niwekeze huku.

    Najiandaa baada ya kustaafu nijenge jengo kubwa la kuabudia hapa karibu na nyumbani. Naamini sitakosa chochote, kwa sababu nitakuwa sina nguvu za kufanya kazi nzito. Kama mtaniunga mkono, na mkawa mnakuja kuabudia kwenye hili jengo mtakuwa mmenisaidia sana katika kupunguza ukali wa maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

    Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza. Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ipi Ipad bora na sahihi ya mwanafunzi f3.

    Amani na iwe kwetu sote! Humu sijawai kukosa jibu wala jawabu. Mtoto: kike. Umri: 13 Level: form3(2027) uzoefu: hana. Ni ipad gani inamfaa. Masomo na apps zipi nimwekee. sifa yangu mnunuaji: mzazi msomi wa kazamani.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Mshangao, Dodoma Nje ya Kumi bora mikoa mikubwa kiuchumi (GDP) Licha ya Mbwembwe za SGR, Magorofa, V8, Ring Road, DAR , MBEYA Kinara, Nini Shida??

    Dodoma imeleta mshituko mkubwa, kwa kukosekana kwake kwenye kumi bora ya mikoa yenye uzalishaji mkubwa (GDP) licha ya mbwembwe za SGR, magorofa na mikwara ya v8 za serikali. Dar es Salaam imeendelea kushika namba moja kwa mbali. Nadhani wachumi mtatusaidia, inaonekana Dodoma ni spenders/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…