bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuku bora wa kienyeji wanapatikana mkoa gani?

    Wadau hivi kuku bora kienyeji wanapatikana mkoa gani?
  2. P

    SoC04 Tanzania tuitakakayo tutaipata kwa kuweka msingi bora wa malezi kwa vijana

    Malezi Malezi ndio Msingi bora wa kutengeneza watu bora na watu wa maana katika nchi ,malezi yasipokuwa mazuri kwa watu hakika tutatengeneza Tanzania ambayo itakosa kuwa na viongozi wazuri na wanaowajibika katika kuhakikisha kwamba tunasonga mbele. Malezi sizingumzii kwa watoto tu hata kwa...
  3. Z

    SoC04 Nyumba na makazi bora kwa raia yenye kuleta tija kwa maendeleo ya taifa letu

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
  4. A

    KERO Bora Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji Dodoma, Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini

    Nilishukuru sana Waziri Slaa alivyotia kufuli Masjala ya Jiji..Ofisi ya Jiji Ardhi imejaa genge la waporaji na wanaibia Watu maskini hawana kitu. Hii dhambi naomba Mungu ifike kwenye Mahakama ya Mbinguni ili Mungu ainue Watu Duniani watutetee. Pia soma ~ Agizo la Waziri Silaa la kuhamishia...
  5. L

    China kuendeleza nguvu bora mpya za uzalishaji kutanufaisha Afrika

    Kwa muda sasa, China imekuwa ikiendeleza nguvu mpya bora za uzalishaji na kuvutia vyombo vya habari vya nchi nyingi za Afrika. Nguvu mpya bora za uzalishaji zinamaanisha uzalishaji wa kisasa unaoongozwa na ubunifu, ukiepuka njia za jadi za ukuaji wa uchumi, na wenye sifa za teknolojia ya juu...
  6. Frank Wanjiru

    Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
  7. Mr_Ndagiwe99

    SoC04 Ajira sio ndoto tena, ni haki: Kutetea haki ya kila kijana kupata ajira bora nchini Tanzania

    Utangulizi: Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
  8. T

    Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
  9. Jumanne Mwita

    Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  10. H

    SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

    Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo. 1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
  11. Eli Cohen

    Nafikiri Hawa Rappers 20 wa Bongo ndio bora kwa muda wote

    20: Roma Mkatoliki 19: King Crazy GK 18: Inspector Haroun/Babu 17: Chid Benz 16: Joh Makini 15: Langa 14: AY/MASTA 13: Mwana FA/Binamu 12: Nick Mbishi 11: Faza Nelly 10: Ngwair/Mangwair/CowBama 9: Jay Moe/Mo Famous 8: Solo Thang 7: Balozi Do La Soul 6: KBC 5: Saigon 4: Afande...
  12. N

    SoC04 Malezi bora yanayosaidia kuwalinda watoto wadogo wasibakwe wala kulaitiwa au kufanyiwa vitendo vibaya

    Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani. Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
  13. Eli Cohen

    Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

    20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam 19: FA - Bado Nipo Nipo 18: Fid Q - Propaganda 17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio 16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee 15: AY - Raha Tu 14: Professor J - Hapo Sawa 13: Balozi -Kwenye Chati 12: Sugu - Wananiita Sugu 11: Professor J - Nikusaidiaje 10...
  14. Mkalukungone mwamba

    Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 unaomalizika leo

    Taja kikosi chako bora cha msimu 2023/2024 msimu unaomalizika leo kikosi changu 1.Diarra 2.Yao 3.Lawi 4.Job 5.Bacca 6.Aucho 7.Pacome 8.Feisal 9.Aziz Ki 10.Waziri JR 11.Mudathiri
  15. M

    Simba itashika nafasi ya pili, na Azizi Ki atakuwa mfungaji bora

    Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2. Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
  16. MFALME WETU

    List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  17. third eye chakra

    Kusamehe ni njia bora ya kufungua milango yako ya baraka na kuondosha huzuni

    KUACHILIA/KUSAMEHE. Ni pale unapokuwa huru ndani mwako, Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu uliyokaa nayo ndani mwako ndio tatizo la mafanikio yako. Kuna mtu unakuta ametunza kinyongo, ametunza...
  18. Suley2019

    Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  19. Sauti Moja Festival

    SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  20. Singasinga

    Kati ya Al Mudhish na Nido yapi na maziwa bora ya Unga

    Naomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish, je utofauti wake ni upi?
Back
Top Bottom