Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba.
Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi.
Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...