ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Makalla asema mchakato uteuzi wa wagombea CCM hadi Julai 28, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  3. JamiiForums Tanzania CCM ikifa, tutazika au tutasafirisha?? Kila baada ya miaka 10 CCM hujihuisha kwa kupata dam mpya kwenye circulation ila miaka hii 10 ya sasa vipi?

    Desturi hii imetuokoa sana sana sana. Kila alipoingia mwamba mwingine aliingia na mfumo mpya uliotosha kukiponya Chama na kukiokoa na makando kando yaliyo tawala kwa myaka kumi ilokuwa inaisha. Sasaivi tupo na maza, ameshikilia kijiti toka alipoingia 2015, as cheo chake ndani ya chama...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Amos Makalla: Wagombea watulie wakati tunaendelea na mchakato, uteuzi wa mwisho ni tarehe 28 Julai, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Amos Makalla, anazungumza na wananchi kupitia Vyombo vya Habari kutokea Ofisi za Makao Makuu Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=YHDtsQ23r0A Updates Makalla asema maandalizi ya ya uchaguzi ndani ya chama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania CCM KUNA SHIDA KUBWA

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kusema ni utaratibu/utamaduni wetu. wao hawajali kabisa athari zinazotokana...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je? Humphrey Polepole Press Yake itabadili upepo ndani ya CCM?

    Hali ndani ya CCM imebadilika baada ya press YA Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Naona vikao vimesitishwa vilivyokuwa vifanyike tarehe 18 na 19 Julai 2025 kwaajili ya teuzi mbalimbali za wabunge. Je hali inaweza kubadilika ili kufuata kile Humphrey amesema kukiukwa kwa tamaduni za CCM? Na je...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amewataka wagombea wa CCM kudumisha uvumilivu

  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM nadhani busara ni kukaa kimya kuliko kutumia machawa kuwahoji watu waliamua kujilipua!!

    Mimi kwa fikra zangu machawa hawaijui CCM vizuri wanatafuta afueni wapewe tuzo maisha yaende!! Msiwatumie machawa kuwajibu watu wanaojifanya kujilipua kwa kukosa maslahi ya liutawala!! Mngekaa kimya mkaacha busara itumike na waasi kujiona wajinga!! Huwezi kutoka hadharani kudhihaki sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania PolePole alipaswa kuisoma na kuielewa Katiba ya CCM IBARA YA 99 (2 na 3)

    Katika Ibara hii ndio unapata ni nini haswa nguvu na mamlaka ya Mkutano mkuu. Tusipotoshe umma kwa kutokusoma vyema katiba ya CCM.
  10. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kuikosoa CCM akiwa mafichoni tusipende kujikweza

    If you are bold enough and you think you have a mass support jitokeze hadharani na ukosoe kwa haki na uwazi. Mara zote baba wa Taifa Alipokuwa anakosoa hakuwahi kujificha mafichoni hii ikimaanisha alikosoa kwa dhati na kweli. Tupunguze maigizo. N.B Hata John Nchimbi alikosoa CCM akiwa katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Utaratibu wa CCM ni kuwa, Samia alitakiwa kuishia 2025 na kukabidhi kwa mwingine

    Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi, amesema Spika wa bunge, VP,Waziri Mkuu ni marufuku kupitishwa kuwa wagombea urais ,huo ni utaratibu ,miiko...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito ACT na CHAUMMA Huwa nao wanapoteana CCM ikipoa nao wanapata nguvu Kuna Nini hapo?

    Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali. Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
  13. JamiiForums Tanzania Je, tetesi zakuahirishwa kwa vikao vya juu vya CCM ni matokeo ya Polepole kupiga kwenye mshono?

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni zikisema, vikao vya juu vya CCM vilivyotarajiwa kukaa leo na kesho vimehairishwa ghafla. Je, hatua hizo ni matokeo ya spana za Polepole dhidi ya udhaifu wa CCM na serikali yake? Muda utakuja kusema mengi.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani ndani ya CCM: Kinachompoza Samia ni kuwa mwanamke?

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  16. JamiiForums Tanzania Upinzani ndani ya CCM, kinachompoza samia ni ujanajike

    Upinzani wa Ndani CCM, Kinachomponza Samia Ujanajike Wake Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala wa sasa. Alianza Job Ndugai kwa kauli...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa CCM umesaidia nini Taifa!? Polepole

    Nimemsikiliza badala ya kuongelea reform anaongelea tamaduni za chama! Hii nchi inataka mabadiliko ya mifumo tamaduni za CCM ndizo zimeleta umasikini Polepole! Pigania mifumo bora
  18. JamiiForums Tanzania CCM tupo watu 15 tu ambao tuna maanisha maana ya Tanzania na utawala bora hatutaki ujinga

    Uwa nawaambia daily hapa mi ni CCM Ila CCM ambaye sipendwi n wenzangu hasa machawa ! Kadi yangu nilianza nayo Mwaka 1982 nikiwa PUGU HIGH SCHOOL (PCM ) Nataka sasa wenyewe 1. Kwanza Mimi Britanicca 2. Butiku 3. Jaji warioba 4. Makongoro Nyerere 5. Humphrey Polepole 6. Luhaga Mpina 7. Anna...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya mfupa wa "no reform, no election" kuwa mgumu kutekelezeka, wanaCHADEMA tumeamua kubeba ajenda za wana CCM

    Sisi wana CHADEMA tunakubali kwamba ajenda yetu ya No reform no election ni ngumu kutekelezeka, tunachofanya sasa ni kuchungulia katika madirisha ya nyumba ya CCM na kushangilia lolote linalotokea au kuzomea. Ajenda yetu imeshindikana, CCM wakiendelea hivi, CHADEMA tutapotea katika meza ya...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Hakuna binadamu aliyeitumikia ccm na mwenye dini ya kuja atakayewapigania WaTanzania kamwe!

    Asiye na akili timamu ndiye atakayeamini maigizo ya kisiasa wanayofanya ccm na wanasiasa wake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…