Uamuzi wa kumuacha Cloutu Chama ulipokewa kwa hisia tofauti na washabiki wa Simba,hata uamuzi wa kumsajili Jean Charles Ahoua kuwa mbadala wake ulipingwa na wengi ikizingatiwa hata aina ya uchezaji wa Ahoua si ya kuburudisha kama ile ya Chama. Lakini hadi sasa Ahoua akiwa amecheza mechi 10 tu...