crdb

  1. JamiiForums Tanzania Viashiria muhimu vya kifedha kutoka kwenye taarifa ya kifedha ya CRDB kwa robo ya pili ya mwaka 2025 (Q2 2025) - Unaudited Financial Statements)

    ■ Faida baada ya kodi (Q2 2025): TZS 346 Bilioni, ikilinganishwa na TZS 275 Bilioni kwa Q2 2024. 📈 Imeongezeka kwa 26% – hii inaonyesha ukuaji mzuri wa faida ya kampuni. ■ Interest Income (Mapato yanayotakana na riba za mikopo) Yameongezeka hadi TZS 904 Bilioni kwa nusu ya mwaka (Jan-Jun 2025)...
  2. JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Milioni 50 NMB na CRDB riba yake ni kiasi gani kwa mwaka?

    Habari wadau, Naulizia, hivi mkopo wa 50m kwa hizi bank NMB na CRDB kwa mwaka riba yake ni kiasi gani?
  4. JamiiForums Tanzania CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Unauthorized action of CRDB Bank Plc of opening a company's account to unauthorized persons without the consent of the rightful owners

    PEACHY VILLAGE COMPANY LTD "To the people of Tanzania, the Government, the Bank of Tanzania, international rights and financial institutions, and all defenders of justice and transparency— My name is Adam Kheri Famao, Chief Executive Officer of Peachy Village Company Limited. Today, I speak on...
  6. JamiiForums Tanzania Kero ya mtandao CRDB bila taarifa tena mara kwa mara kwa muda mrefu

    Ivi kuna mtandao wa kibank kwa sim banking unaokera kama CRDB?
  7. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  8. JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  9. JamiiForums Tanzania Kuna App ya Bank yenye Usumbufu kama ya CRDB kwa sasa?

    Wakuu hii app ya CRDB ni pasua kichwa. Inaweza kukuaibisha muda wowote. 1. Ukitoa hela kwa cardless hautumiwi msg 2. Ukihamishia hela kwenye simu inashindikana 3. Ukituma hela bank nyingine ni kizungumkuti. CRDB mmefail sana kwenye hii app
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya bitcoin ama hisa za CRDB pamoja na FOREX znapatikana vp? Twende pamoja

    Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi? >Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2 Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
  11. JamiiForums Tanzania Zungu: Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB itazalisha wahitimu wenye ujuzi

    Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
  12. JamiiForums Tanzania CRDB WAKALA Wanakataa kutoa huduma ya Direct transfer kwa wateja wa Bank ya CRDB

    Taarifa kwa uongozi wa CRDB Bank kulifanyia kazi swala hili maana ni kero kubwa sana kwa wateja wenu. Binafsi nimepata usumbufu huu mara nyingi, kukataliwa kufanya direct transfer kwa mawakala wenu kwa kisingizio kwamba hawapati commission yoyote kwa huduma hiyo, fanyeni Uchunguzi mtabaini, kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

    Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana. Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini mashine za NMB na CRDB wakala ni gharama hivyo?

    wakuu nimeenda benk kwa ajili ya kupata hizi mashine. Bei zake zimeniacha hoi hadi najiuliza n kukomoana au kupunguza watu
  15. JamiiForums Tanzania TFF kabidhi fedha za CRDB kwa Yanga kisha dai madeni Yako. Mnaiaibisha Bank

    TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha ya CRDB iliyokusudiwa kwenda Yanga kama bingwa wa mashindano ni ushahidi wa hili. TFF imekosea sana...
  16. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyetafuna fedha za zawadi ya Kombe la CRDB?

    Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
  17. JamiiForums Tanzania Udhamini wa CRDB Kwa TFF ni billion 3.759, inakuwaje bingwa anapewa milion 50?

    Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi? Au mshahara wa Aziz...
  18. JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  19. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  20. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…