haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Lema aondolewe mstari wa mbele wa mapambano haraka ataharibu morali ya wapambanaji vitani wanapigwa risasi

    Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo . Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline . Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutoa namba ya simu haraka

    Habari ndugu?... Kuna Mwanamke Nilikutana nae Stendi ya Magari,, wakati Yuko kwenye harakati za kudandia gari.. Nilimpa hi...then nikamuomba namba ya Simu,,akaniuliza namba ya Nini huku akiwa kama anataka Simu yangu aniandikie namba,,sikumjibu nikampa Simu akandika namba yake..... Then...
  4. JamiiForums Tanzania Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Masauni Akagua Maeneo Yaliyoathirika Na Mafuriko Kigoma Ujiji, Aahidi Hatua za Haraka

    Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  7. JamiiForums Tanzania Video: Mtanzania Asimulia Ugumu wa Maisha wa Kenya.Atamani Arudi Haraka Nyumbani Tanzania

    My Take Harafu utasikia mtu anakwambia maisha magumu Bongo wakati Kwa elfu 5 anakula mlo kamili kuanzia asubuhi,mchana na jioni 😂😂😂👇👇
  8. JamiiForums Tanzania MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA.

    Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote. Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinapeleka muda haraka sana, unaweza kudhani saa limepita kumbe ni masaa zaidi ya sita

    1. Stories na Marafiki 2. Games 3. Mitandao ya kijamii 4. Movies na Series
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kwa anayeijua NGO inaitwa AIDS Care Foundation, nahitaji kufahamu uhalali wake

    Tafadhali wapendwa, tarehe 22 Septemba niliona tangazo la ajira ya Field Officer katika NGO ya AIDS Care Foundation. Baadaye nilitumiwa barua pepe kwa ajili ya kuendelea na mchakato wa ajira. Hata hivyo, katika hatua hiyo nimeelekezwa kufanya assessment kupitia kampuni nyingine, na cha...
  11. JamiiForums Tanzania Je mwanao ana changamoto ya kutoelewa kwa haraka na mwepesi wa kupoteza kumbukumbu? Hii hapa tiba halisi.

    Sukari huathiri kile kinachoitwa mfumo wa limbic (limbic system). Mfumo wa limbic ni kundi la miundo ya ubongo inayohusishwa na hisia, kumbukumbu na michakato mingine ya kujifunza. Huhusika katika udhibiti wa hisia na uundaji wa kumbukumbu, jambo ambalo huchangia katika mchakato wa kujifunza (...
  12. JamiiForums Tanzania Dada anahitaji kazi haraka aweze kulea familia yake mme kamtelekeza. Location (DAR)

    (Temporary post) Kwa wakazi wa Dar. Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe. Wamefukuzwa katika nyumba waliyokuwa wamepanga Kwa sasa meomba hifadhi ya kuishi kwa muda kwa rafiki yake wakati...
  13. JamiiForums Tanzania MWALIM WA PHYSICS NA MATHEMATICS(COMPETENT) ANAHITAJIKA HARAKA SANA.

    1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA. 2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU CERTIFICATE (NACTE) AU VETA. NA EXPERIENCE YA KUFANYA KAZI Kwenye majengo marefu na umeme mkubwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ukianza kumtongoza Mwanamke na akakukubali haraka, jitathmini!

    Hiyo ndo principle mating demand ATP. Ukimtongoza mwanamke akakukubali haraka jua kuna kitu hakipo sawa either una kimojawapo kati ya hivi 1.Una pesa 2.Mfanyakazi 3.Kastaafu umalaya anatafuta wa kustaafia 4.Anataka ndoa ili amiliki mali ulizo nazo wale pamoja na watoto wake ili wewe upigwe...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Msaada: Tuliotoka Diploma kwenda Degree tukiomba mkopo tunakutana na "No Applications Found" kwenye mfumo

    Naomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waombaji wengi wa mkopo wa HESLB, hasa sisi tuliotoka Diploma kwenda Degree. Kutokana na kuchelewa kwa matokeo ya Diploma, tuliopo kwenye kundi hili tulipewa siku 14 za ziada ili kukamilisha maombi yetu ya mkopo. Muda huo ulikuwa unatosha, na hatuombi...
  16. JamiiForums Tanzania Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

    Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa. Bila toba hatutoboi .
  17. JamiiForums Tanzania Tunaomba jibu haraka sana

    Ndugu zangu leo yametokea maajabu! Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa.. Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi tu. Hicho kitu Hakija wahi kutokea katika historia ya jamiiforums, na je, wenye mods mnamajibu...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaotoa ushauri wa jumla jumla kwenye kila jambo, ni janga lingine linalotakiwa kukemewa haraka sana

    Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla. Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa haraka mtandaoni

    Niaje, kwa wazoefu nawezaje kupata mkopo kwa haraka mtandaoni kwenye application
  20. JamiiForums Tanzania Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

    Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon Nimesoma mikataba ya barabara Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo. Nimesoma mkataba wa ngorongoro Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…