hoja

  1. Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
  2. Faida ya kuwa Mkristo tajiri mwenye pesa nyingi siku za mwisho

    Yesu alipokufa liliandaliwa dau kupotosha kuwa hajafa. Shughuli hii iliratibiwa kwa ukaribu na Usalama wa Taifa wa Herode, Viongozi wa kidini na machawa wa kaisali. Pesa ilitumika kumuhafifisha Yesu, Hata leo trillions zimetengwa kumuhafifisha ionekane ni nadharia. Hii ni fursa kwetu sisi...
  3. Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

    Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu. Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa...
  4. Wakili Madeleka: Dubai sio nchi kama ilivyo Zanzibar hivyo haiwezi kuingia mkataba na nchi nyingine

    Wakili Madeleka amesema yapo mambo ambayo yanashughulikiwana muungano wa falme za Kiarabu na yapo mambo yanashughulikiwa 'individual emirate' Madeleka ametolea mfano wa Zanzibar isivyoweza kusain mktaba na Kenya, kuchukua mkopo japokuwa inae Rais. Madeleka amesema Zanzibar haina ubalozi popote...
  5. B

    Tundu Lissu: Kauli ya Diaspora watuache ni ya CCM, anayesema kauli hiyo anafanya kazi ya CCM

    Kwa lugha ya staha na hekima kubwa, mwanasiasa nguli huyu asikilizwe: === Alichozungumza Tundu Lissu ktk video iliyowekwa hapo juu "Naanza kuona maneno hivi hawa diaspora hao wasitubabaishe wasituingilie, hiyo ni lugha ya CCM. Anayezungumza lugha ya aina hiyo anasaidia wale waliotuumiza miaka...
  6. Charles Kitima una hoja za kujibu tena haraka iwezekanavyo

    Naomba nikuulize maswali yafuatayo: 1. Kilichosainiwa kwenye HGA kati ya DPW ulikifahamu kabla? Kama jibu ni ndiyo 2. Kwanini hukurudi kwetu waumini kutueleza yatakayojiri ili kusikia jamii yako ina hoja gani? 3. Kwanini ufanye siri? Kama jibu ni hapana, 3. Ulienda Ikulu kufanya nini? 4...
  7. Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  8. Huyo Mpenzi uliyenaye atakuvumilia katika Matatizo? Mpenzi wa Fei Toto aliolewa wakati wa Sakata la Fei na Yanga

    Akizungumza katika 'Intavyuu' maalum na Mwananchi Feisal Salum maarufu Fei Toto amefunguka yafuatayo kuhusu mahusiano yake. "Lile sakata liliniathiri kwenye mambo mengi sana sio kwa upande wa kucheza pekee, wakati niko kwenye wakati mgumu kama ule kila wakati unafikiria hii kesi itaishaje...
  9. T

    Tutafika lini huku: Mbunge mmoja Marekani apitisha hoja ya kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe

    Jamani wenzetu ni wazalendo, na wamejipa nguvu ya kushughulikia watawala wanaozingua. Unahitaji kura moja kuleta Azimio lijadiliwe! Nchini Marekani Mbunge Matt Gaetz wa chama cha Republican jana amewasilisha hoja ya kupitisha Azimio la Bunge la kumuondoa Spika wa chama chake mwenyewe akidai ni...
  10. Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Sitaki kukubaliana na Tanesco eti kwamba awamu ya sita Kuna ongezeko la shughuli za kiuchumi hadi kupelekea upungufu wa umeme.
  11. Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  12. K

    Mikutano ya CHADEMA inavutia watu kwa hoja sio matusi!

    Nilikuwa namaikiliza mzee Msuya kwenye mahojiano. Amekubali kuwa Chadema wanaweza kujenga hoja kwa sasa kuliko CCM. Huu mtindo wa kugeuza udini na matusi ni mbinu za CCM ambazo hazina ushahidi wowote. 1. Bandari mkataba haujapata majibu ya maana 2. Kuhusu Ardhi za ngorongoro wamenyamaza 3. Bei...
  13. K

    Namkubali sana Luhaga Mpina kwa hoja anazotoa Bungeni. Apinga sheria ya kununua vitu used

    Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho. Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi...
  14. M

    Watetezi wa Rais Samia wamekosa hoja, inaonesha wamezidiwa

    Mimi binafsi kama raia wa kawaida nilitarajia kusikia watetezi wa Rais Samia wakijibu hoja za Lissu, Mwambukusi na wengineo kwa hoja zenye mantiki. Mfano, kwa nini IGA ni mkatataba tayari kama ibara ya 2 ya IGA inanyosema. Kwa nini IGA iseme migogoro itapelekwa ICSID Kinyume na sheria za ulinzi...
  15. U

    Kama Tundu Lissu ni mchochezi hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake, la sivyo serikali ijibu hoja yake

    Ukiachilia mbali mkataba wa bandari ambao Serikali imesaini kuwapa bure waarabu wa Dubai bandari zote za Tanganyika za bahari na maziwa makuu, kumbe pia; 1. Inadaiwa serikali imeingia na kusaini mkataba wa kuwapa waarabu hawahawa hekta za misitu ya Tanganyika milioni 8 eti watusaidie kutunza...
  16. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) litusaidie kwenye hoja hizi nne

    Agosti 20, mwaka huu, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), lillibua miadala baada ya kuitaka Serikali kusitisha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kiuchumi na kijamii, kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai (IGA), kwa sababu ya hoja kadhaa, ikiwamo wananchi walio wengi hawakubaliani...
  17. Sauti ya wengi sio sauti ya Mungu. Huu msemo ni kuchanganya dini na siasa

    kuna msemo wa kirumi Vox Populi Vox dei ( Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu). Huu msemo ni sahihi kisiasa sio kidini au kiimani. Wanasiasa walitumia huu msemo kujihalalishia mambo yao hata kinyume cha Mungu na wengine ilikula kwao. Sasa ni aibu kwa kauli hii kusikika kwa watu wa dini. Ibaki...
  18. Kama hoja ni Ufanisi wa Bandari Nawaza hivi..

    1)Fanya utafiti yakinifu na makini kubaini gharama,namna bora ya uendeshaji,faida na mengineyo watu wa project wanaweza kunisaidia. Weka mipango mirefu na mifupi na kufanya tafiti za mara kwa mara kuona malengo yamefika wapi 2)Tafuta wataalam waliobobea kwenye maswala ya uendeshaji wa bandari...
  19. Baada ya kushindwa hoja sasa wanajaribu kuhamisha mjadala kwa kuwabambikia kesi za ajabu ajabu wakosoaji

    Inawezekana ndivyo mabingwa wa siasa ndani ya chama wamemshauri hivyo. Kuwa ili watu waache kujadili ule mkataba wa ajabu kabisa uliosainiwa na serikali basi watu fulani fulani wakamatwe na kupewa kesi za nzito nzito. Kwamba mjadala utahamia kwenye kesi hizo za jinai badala ya mkataba. Mambo...
  20. Hata Hayati Magufuli alilazimishwa na wao wenyewe kuwanyorosha

    Amewapa Pesa za ruzuku ameruhusu mikutano ameahidi kuwapa katiba mpya amewaruhusu kurudi nchin toka mafichoni baadhi wamelipwa malimbikizo yao amekubali Maridhiano. Lakini wapi hawaridhiki, wanamtusi na kumkejeli sasa Imetosha badilikikeni viongozi wazuri kugeuzwa wabaya na watu wenyewe kila ck...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…