iran

  1. Hasira za Pakistan na Iran ni kama za wagonjwa wa safura

    Kwa takriban miaka mitano sana makamanda wakubwa wa Iran na vituo muhimu vya kijeshi vya Iran vimekuwa vikishambuliwa na Israel ndani ya Syria na hata ndani ya Iran yenyewe. Mtekelezaji wa mashambulio hayo Iran amekuwa akimtaja bila kificho na mwenyewe (Israel) mara moja moja amekuwa akikiri...
  2. Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  3. Kuna tetesi kwamba humo kwa waliouawa na Israel, kunaye jenerali wa Iran

    Wanaendelea kuwahishwa kwa mabikira.... Generals among 5 IRGC commanders killed in alleged Israeli strike on Damascus A security source in a network of groups close to Syria's government and its ally Iran told Reuters the multi-story building was used by Iranian advisers supporting President...
  4. IDF wasambaratisha jengo Damascus na kuua maafisa wa kijeshi wa Iran

    Kama kawa, Israel wanaendelea kuwahisha watu kwenda kwa mabikira.... An Iranian Islamic Revolutionary Guards Corps official was killed in an alleged Israeli airstrike on Damascus, the Reuters news agency reports, citing sources in the regional pro-Syria alliance. The source says the...
  5. Al jazeera ni kituko. Iran na Pakistan wameanza kupigana ila habari zao siku nzima ni kuisakama Israel

    Haw jamaa sio chombo cha habari bali ni chombo cha itikadi. Wanaona haya kubroadcast mvutano ulianza kati ya iran na pakistan eti kisa ni mataifa ya kiislam. Bado tu ni kuwalaumu Israel juu ya vita yao dhidi ya hamas. Double standard sana hawa watetea magaidi.
  6. Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

    Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan. Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran. Source: Al Jazeera, Agence France-Presse Na muda sio mrefu...
  7. Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

    Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan...
  8. Pakistan yamuita nyumbani balozi wake kutoka Iran na balozi wa Iran Pakistan alieko likizo Iran hatoruhusiwa kurudi kazini

    Pakistan imemuita nyumbani balozi wake alieko nchini Iran na pia imesema haitomruhusu balozi wa Iran alieko nchini Iran kwa likizo kutorudi Pakistan. Uamuzi huo wa serikali ya Pakistani umetolewa baada ya jeshi la mapinduzi la Iran (IRG) kufanya mashambulizi ndani jimbo la Balochistan lililoko...
  9. I

    Marekani yateka silaha za Iran wakipelekewa wanamgambo wa Houthi

    Jeshi la Wanamaji la Marekani limeripoti kwamba limekamata silaha zilizotumwa na Iran kuwapa waasi wa Houthi wa Yemen wiki iliyopita. Jeshi la Marekani (CENTCOM) lilitangaza katika taarifa siku ya Jumanne kwamba Seals wa Jeshi la Wanamaji la Marekani walipata silaha hizo wakati wa shambulio la...
  10. Mashambulizi ya Iran huko Iraq yamuua mmoja kati ya matajiri wakubwa wa Iraq

    BREAKING; Islamic regime ya Iran usiku wa kuamkia leo ilimuua mmoja wa watu tajiri zaidi wa Iraq, Peshraw Dizayee, kwa kurusha makombora 2 ya ballistic from Iran hadi nyumbani kwake huko Erbil, Iraq. Mkewe na jamaa wengine 2 pia waliuawa. Alilengwa kwa sababu ya kuwezesha biashara na Israel...
  11. Iran attacked Mossad base in Erbil

    ERBIL, Kurdistan Region - Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) early Tuesday claimed responsibility for a massive ballistic missile attack on the Kurdistan Region’s capital of Erbil, claiming to have hit “spy headquarters” of anti-Iran groups in the Region. “In response to the recent...
  12. Marekani yatoa 'Ujumbe wa faragha' kwa Iran baada ya shambulizi Yemen

    Biden asema amewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu mashambulizi ya Houthi Taarifa kutoka Washington hivi punde zinasema Rais Joe Biden anasema Marekani imewasilisha ujumbe wa faragha kwa Iran kuhusu Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran waliohusika katika kuzishambulia meli za kibiashara...
  13. Iran yalalamika kwa Houthi kupigwa, ilitaka waendelee kufanya chochote bila kunyooshewa kidole

    Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa supapawa dunia hii..... In a statement on Friday, Kanaani described the attacks on Yemen as a clear...
  14. Iran yashika meli ya Marekani jirani na Oman. Ni kulipiza kisasi dhidi ya ubabe wa US

    iran imeendelea kurekeleza sera ya jino kwa jino dhidi ya Marekani kwa kuiteka meli iitwayo St Nicholas wakati ikiwa na shehena ya mafuta iliyopakia kwenye bandari ya Iraq kuelekea Ururuki. Meli hiyo zamani ikiirwa Suez Rajan na ndiyo iliyotekwa na Marekani mwaka jana ambapo shehena ya mafuta...
  15. Saudi Arabia yawapiga pini mahujaji wa Iran

    Raia wa Iran hawaruhusiwi kwenda kuhiji Saudi, hawatapata fursa ya kwenda kupiga shetani mawe...... Flights to Saudi for Iranian pilgrims traveling to Umrah have been canceled amid ‘technical disagreements’ between the two nations. The anticipated journey was scheduled to commence on Wednesday...
  16. Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran. ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana...
  17. Je Iran iko serious?

     Eti wamedeploy kimeli hicho hapo juu Mediterranean kukabiliana na dude hilo la USA Waarabu mbona wana utani mwingi. Vitu vingine tusilete utani
  18. Bomu lalipuka Iran na kuua 73 na kujeruhi 180 kwenye maadhimisho kifo cha Qasem Soleimani

    Poleni wahanga ila Iran kubwa la magaidi ya dini naona anafanyiwa ugaidi kwake ndani, anaafutwa sana huyu..... Polni sana lakini mnachokihisi ndivyo huwa kwa wale huwa mnawafanyia ugaidi..... At least 73 killed and 180 wounded in terror attack in Kerman, Iran.2 bombs exploded as crowds were...
  19. Iran mbona kimya tena?

    Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini? Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha. Mataifa ya Kiarabu mbona yapo...
  20. Hongera Iran kwa kushtukia huu mchezo, ilikuwa ifutwe tukiiona, haya meli ya Marekani imeondoka

    Iran hapa wametumia akili sana kwa kukunja mkia na kunyamaza ndani licha ya kila jitihada kufanywa kuwashika hadi masharubu. Iran ilisema Israel wakiingia Gaza watakua wamevuka mstari, aisei Marekani wakaleta gumeli kama lote na kuweka pale na kusema mwenye kifua ajaribu hata kujikuna, Israel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…