MICHAEL JACKSON - "TRILLER"
Mwigizaji na mwanamitindo Ola Ray aliyetokea kwenye Video ya 'Thriller' ya Michael Jackson inadaiwa kuwa alilipwa kiasi cha pesa $2,500 sawa na Tsh Milion 6.8 wakati huo1983 ambazo ni sawa na $8,000 Tsh Milion 21.8 leo.
Hata hivyo Ola Ray alisema kwamba alitaka...