Kumekuwa na wimbi la mauaji, matukio, ndoa kuvunjika bila mpangilio...
Imagine mtoto yuko shule tayari anlmeshaingia kwenye kudanganya, au masponsor,
Juzi tu hapa, nimekutana na kitoto cha sekondary kina mama yake mgahawa I, tayari yeye na mamaye wananipigia mahesabu mimi. Kwa wanaume...