Habari
Jana yanga imecheza na simba kama wanaofanya mazoezi,laiti yanga ingeamua kucheza mpira wake wa kila siku aisee aisee kwa makosa walikuwa wanaofanya simba jana simba ingefungwa tena goli 5 na kuendelea,walikuwa wapo wazi sana,sema niungwana na wawazee wa yanga na tunajua ukishazeeka...