jeshi

  1. Jeshi la Polisi: Tumewaokoa Watoto wa Kike 184 waliokuwa wameandaliwa kufanyiwa ukatili wa kukeketwa

    Jeshi la Polisi Nchini limesema katika kushiriki Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa Mwaka 2024 litashirikiana na Wadau mbalimbali kufanya Maadhimisho hayo katika Kanda Maalum ya Kipolisi Tarime Rorya ambapo Jumla ya watoto 184 waliofanyiwa vitendo vya ukatili wameokolewa...
  2. LGE2024 Tanga: Watu wanne wakamatwa na Jeshi la Polisi kwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakidaiwa kufanya vurugu kwenye vituo vya kupigia kura kwenye Wilaya za Pangani na Tanga mjini, wakati upigaji kura ukiendelea. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake leo Novemba 27, 2024 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, ACP...
  3. Mbinu mpya ya CCM kuingiza kura fake vituoni ni kutumia Plice na magari yao.

    CCM ni sawa na yale magenge ya Madawa za kulevya kule Mexco, ambako kila mbinu ikijulikana huingia chimbo na baadae kuja na mbinu mpya ya kusafirisha Dawa za kulevya. CCM baad ya kugundua mbinu nyingi za wao kuiba kura hasa kura fake zinajulikana now day sana wanatumia police hao hao kuiba...
  4. LGE2024 Mwanza: Askari wa Jeshi la Polisi Wafanya doria kuimarisha Usalama wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Hizi ni picha mbalimbali zikiwaonyesha askari wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza wakifanya doria katika maeneo mbalimbali ikiwa ni kuimarisha hali ya ulinzi na usalama mkoani humo.
  5. Video: Huyu mstaafu aliwakosea nini Jeshi La Polisi? Kosa lake ni kukaa kijiweni?

    Wakuu, Kuna video nimekutana nayo huko mtandaoni ya Afisa wa Polisi akiwa anamfokea mstaafu kwa kukaa kijiweni bila kuwa na kazi maalum. Kwenye video hiyo, huyu Polisi kwanza kabisa anaongea na huyu mstaafu kama mwanae licha ya kwamba mstaafu umri wake umeenda na anasema kabisa aliacha kazi...
  6. LGE2024 Kiongozi wa CCM aahidi "kupoteza" wapinzani wao kwa kutumia jeshi la Police

    Hawa Vijana wa hovyo wa CCM natamani wangeonywa juu ya haya matamshi Yao! Imagine huyu ni kiongozi wa CCM na anaongea haya publicly, kama ana uwezo wa kusema hivi hadharani, je huko sirini Wanaongea na kupanga mabaya Kiasi Gani?.
  7. Chadema wasitumie chenja za jeshi kwenye kampeni.

    Jana nilikwenda kumsalimia ndugu yangu Kibamba nikasikia kwenye gari la kampeni za uchaguzi serikali za mitaa gari lilikuwa la chadema. Kuna baadhi ya chenja wametohoa na wanazipiga katika gari lao la mikutano. Nilisikitika maana naona ni kama kutaka kuleta mambo ya siasa kwenye majeshi yetu...
  8. LGE2024 Polisi wamkamata na kumuweka Lock up Steven Membe, Mwanachama wa CHADEMA, nyumbani kwao Rondo

    Wakuu Yericko Nyerere ameandika; Jeshi la Polisi limemkamata Kamanda wetu Mwanachama wa Chadema Mhe. Steven Kamilius Membe nyumbani kwao Rondo na kumuweka Lock up ya Kituo kikubwa cha Polisi Lindi Mjini. Bado hakuna uwazi wa makosa wanayomshikilia nayo. Tunaendelea kufuatilia kwa ukaribu...
  9. LGE2024 Jeshi la Polisi Mbeya latoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
  10. Pre GE2025 Vitu vya kuzingatia na vya kutokufanya kwa Jeshi la Polisi wakati wa uchaguzi au kipindi cha Siasa

    Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani? Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi Majeshi yetu hayatakiwi kuchagua upande, majeshi yetu hayatakiwi kuonesha hisia zao wazi kisiasa...
  11. LGE2024 Mlowo: Polisi watawanya Mkutano wa Mbowe kwa Mabomu. Kosa kaingilia ratiba ya ACT-Wazalendo

    Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza mwenyekiti. Kwa mujibu wa Ratiba eneo hilo lilikuwa na mkutano wa Chama cha ACT wazalendo mchana wa...
  12. Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  13. KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  14. Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  15. G

    Ukanda wa Gaza jeshi la Israel linalipua na kuangusha MAGHOROFA 5-10 kwa siku, lkn wananchi wanaokoana fasta, tena kwa mikono tu

    Tanzania kuna shida gani? Kaghorofa kamoja kanaihangaisha nchi tangu jana? Hii serikali inaweza jambo gani?
  16. Uokoaji katika majanga Tanzania ni changamoto, sio leo toka zamani

    Tujikumbushe ajali na Watanzania wenzetu walivokufa kutokana na uzembe wa taasisi ya maafa na uokoaji 1. Ajali ya Meli MV Bukoba kuzama Hii ajali ilikuwa maelefu ya watu. Na ajalie ilitokea karibu na bandari ya mwanza, na meli ilizama Vyombo vya uokoaji havikutoa msaada 2. Mv Spice Zanzibar...
  17. Kwa mahojiano haya ya Deo Bonge na Ayo, atakuwa 'amefinywa'? Asema aachwe apumzike, analiamini Jeshi la Polisi kufanya kazi yake

    Wakuu, Millard kafanya mahojiano na bonge kueleza kwa undani kilkchotokea. Tunamjua Millard🌚🌚... mnasemaje wakuu? Wazee wa kusoma kuread between the lines na kuangalia body language, ukiangalia maswali ya Ayo TV na majibu ya Bonge, unapata conclusion gani? Naomba pia ujikumbushe kwenye uzi...
  18. U

    Idadi askari wa akiba wanaoitikia agizo la kujiunga na Jeshi la Israel kwa ajili ya kupigana vita imepungua kwa kiwango kikubwa

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni tete vijana wa kiyahudi hawataki Tena kwenda vitani! Kumekuwa na kupungua kwa kiwango cha askari wa akiba wanaojitokeza kazini katika wiki za hivi karibuni ikilinganishwa na kuanza kwa vita, The Times of Israel limebaini. Mwanzoni mwa vita, IDF iliripoti kwamba...
  19. Jeshi la Polisi ni fedheha dhidi ya demokrasia nchini

    Kulizungumzia Jeshi la Polisi Tanzania haimaanishi kutishia ama kuingilia usalama wa nchi. Soma hii taarifa yao hapa chini Pia soma: LGE2024 - Polisi: Kuna chama cha Siasa kinapanga kufanya Vurugu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Siyo mara ya kwanza polisi kutoa tuhuma ambazo hawajawahi...
  20. LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…