kilimanjaro

Mount Kilimanjaro () is a dormant volcano in Tanzania. It has three volcanic cones: Kibo, Mawenzi and Shira. It is the highest mountain in Africa and the highest single free-standing mountain in the world: 5,895 metres (19,341 ft) above sea level and about 4,900 metres (16,100 ft) above its plateau base.
Kilimanjaro is the fourth most topographically prominent peak on Earth. The first people known to have reached the summit were Hans Meyer and Ludwig Purtscheller, in 1889. It is part of Kilimanjaro National Park and is a major climbing destination. Because of its shrinking glaciers and disappearing ice fields, it has been the subject of many scientific studies.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  2. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  3. Kilimanjaro: Mhandisi wa Kilimo apewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro. Kisingizio alichopewa ni eti kumekosekana mhandisi hivyo wakaona ni bora Mhandisi wa Kilimo angalau alete...
  4. Tetesi: CCM Kilimanjaro imepasuka, Mkoa unazidi kurudi nyuma

    WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni kwaajili ya ukuaji wa mji. Sehemu zote huwa wanweka vibanda vsivyo elewekw, kuzungushia ma-fremu...
  5. Kilimanjaro: Aliyekuwa Mhasibu Mapato Same afungwa jela Miaka 20 kwa Ubadhirifu

    Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele ya Mhe Hellen Hozza, likiendeshwa na wakili Suzan Kimaro. Mshtakiwa ambaye alikuwa Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, ametiwa hatiani na...
  6. Kilimanjaro: Ajinyonga hadi kufa kisa wivu wa kimapenzi

    Kijana mmoja Anaekadiriwa kuwa na umri wa miaka 35 aitwae Henry amejinyonga hadi kufa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Tukio hilo limetokea leo mchana Katika Kijiji cha Narumu huko katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Sababu Za kijana huyo kujinyonga hadi kufa ni baada ya...
  7. Mbunge Saashisha Mafuwe asema kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kinatengeneza aina zote za vifaa vya chuma, hakuna sababu ya kwenda China

    "Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
  8. Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

    Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani. Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
  9. CCM [Kilimanjaro] yavuna watoto wa VETA zaidi ya 100 kuwaahidi ajira!

    Leo 9-3-2024 Uongozi wa SENETI VYUO NA VYUO VIKUU (M) KILIMANJARO, Umezindua Tawi jipya La Idara ya Vyuo Chuo Cha VETA. Katika Uzinduzi Huo wa Tawi la Chuo Cha NVTC kwa sasa kinaitwa VETA kilichopo Moshi Mjini, Zaidi ya Wanachama Wapya 120+ Walisajiliwa Kwenye Mfumo wa Kielektroniki na Kupewa...
  10. K

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Hicho kiwanda inasemekana kiko mkoani Tanga. Wife kaitwa kwenye interview nafasi ya sales, kuna anaowafahamu hao jamaa na scales zao za malipo?
  11. Mbunge Esther Malleko agawa tani moja ya Mbegu bora za Alizeti - Kilimanjaro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko amegawa TANI MOJA ya Mbegu Bora za Mazao ya Alizeti kwa Wanawake wa Mkoa wa Kilimanjaro ili kuwainua Wanawake Kiuchumi katika shughuli zao za kila siku ikiwemo kilimo cha Alizeti, Kahawa, Ndizi pamoja na Shughuli za Utalii kwa...
  12. A

    DOKEZO Kilimanjaro Marathon ni Eneo la kupigia Dili

    Mshindi ni Mkenya, ila kwenye Malipo anakuwa Mtanzania…!
  13. Hakuna sukari Kilimanjaro, wananchi wanauliza "Mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya" wanunue sukari wapi?

    Maduka yote ya jumla mkoani Kilimanjaro, hakuna sukari na kiwanda cha sukari cha TPC Kiko kms 17 kutolea mjini Moshi. Wana CCM tunamuuliza mkuu wa Mkoa HUO na wakuu WOTE wa Wilaya, wakanumue sukari wapi?
  14. K

    Washindi wa Kilimanjaro Marathon kuzawadiwa viwanja kutoka Lapex Properties

    Lapex Properties imetangaza kuwazawadia viwanja mshindi wa kiume na wa kike wa mbio za kilometa 42 za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024. Zawadi hizi zinatolewa kwa kushirikiana na mdhamini Mkuu wa Mbio za Km 42- Kilimanjaro Premium Lager na waandaaji wa mbio hizi. Tangazo...
  15. Katibu wa CCM Wilaya ya Hai, KULE KILIMANJARO ni Mlaghai

    Nifikie kusema wazi na bila kificho kuwa, Katibu wa CCM wilaya ya Hai, ni Mlaghai. Amechukua nafasi aliyopewa kuwarubuni wanaccm kuwa nitafanyia hiki nitakufanyia kile Matokeo yake anapokea fedha za wanaccm na hawasaidii chochote na hana uwezo wa kuwasaidia. Kwenye hizi chaguzi za serikali za...
  16. Polisi Tanzania na Interpol wamkamata aliyowatapeli Watalii waliokuja kupanda Mlima Kilimanjaro

    Jeshi la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa aliyewatapeli watalii waliokuja nchini kwa ajili ya kupanda Mlima Kilimanjaro huku likibainisha kuwa Tanzania ni nchi salama kwa wageni wa ndani na nje ya Tanzania. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro...
  17. Pre GE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
  18. Pre GE2025 Kilimanjaro: Wananchi Same wamkataa mbunge David Mathayo, wasema haonekani jimboni na bungeni

    Katika ziara ya Mwenezi wa CCM, Paul Makonda Wananchi jimbo la Same wameonesha kutokuwa na imani na mbunge wao, ambapo wamedai kuwa mbunge huyo amekuwa akirudisha nyuma maendeleo ya jimbo hilo hasa kwa kuwagawa vijana na watu. Wamemnukuu Hayati Nyerere kuwa ili maendeleo yawepo lazima kuwepo na...
  19. Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  20. TANAPA yafunga njia ya kupanda Mlima Kilimanjaro kupitia Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi kutokana na mvua

    TAARIFA KWA UMMA Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…