kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kimya kinachouma

    Sijui kama ni uchovu, presha ya maisha au mambo yamezidi tu… Kwa siku hizi najikuta niko kimya sana. Kuna mambo napitia ambayo si rahisi kuyaeleza kwa mtu, na ukweli ni kwamba nimefika sehemu najihisi nimeelemewa sana. Sina nia ya kulalamika wala kutafuta huruma. Nimejaribu kujishikilia na...
  2. JamiiForums Tanzania Kimya cha mtu kina maana gani?

    Kuna muda mtu anabadilika, halafu watu wanaanza kujiuliza: “Huyu amepatwa na nini?” Jana nilikaa nikawaza mambo mengi sana kuhusu maisha, watu na namna tunavyohukumu mtu bila kujua kinachoendelea upande wake. Nikagundua kuna watu wanapenda sana mtu wa zamani. Ukianza kukaa kimya, unasemekana...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna wakati maisha yanakufundisha kimya kimya

    WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA... Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito. Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia? Kwa nini wengine wanapata fursa...
  4. JamiiForums Tanzania Labour Care Guide (LCG) ina mapungufu , sijui kwa nini mpaka leo hata WHO wamekalia kimya

    Wataalamu wa afya wamehama kutoka kwenye Partography na kuhamia kwenye Labour Care Guide kama maboresho ya ku monitor Labour process mpaka pale mama anapojifungua ili tu kuhakikisha mama na mtoto wote wanakuwa salama . Lakini cha kusikitisha ni kwamba hii LCG binafsi nimeshaona mapungufu...
  5. JamiiForums Tanzania Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

    Coincedence? Or correlation?
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Application ya Mixx by Yas imepata changamoto siku mzima huku wahusika wakiwa kimya

    Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima. Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
  7. JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  8. JamiiForums Tanzania Mitaani wananchi wanaamini mpishi wa Dk Nchimbi alikula chakula chenye sumu akafa. Serikali ipo kimya na haikanushi

    Hii inaleta picha kamili kuwa wanachoamini wananchi kina ukweli. Vifo vya viongozi wengi wa CCM vina utata ndio maana CCM ni chama cha watu waovu kama alivyosema Humphrey Polepole.
  9. JamiiForums Tanzania CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hadi sasa BAKWATA ipo kimya kuhusu tume ya kuchunguza kuondolewa kwa Sheikh Walid?

    Kwanini mpaka sasa kimya kuhusu tume ya kuchunguza kuondolewa kwa sheikh Walid? Tangu ilipotangazwa kwamba imeundwa tume ya kuchunguza na kutoa ripoti kuhusu suala la kuondolewa kwa Walid, mpaka sasa kumekuwa na ukimya mkubwa. Maswali ya msingi bado hayajajibiwa: Wajumbe wa tume hiyo ni akina...
  11. JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  12. JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Diamond na Zuchu ni utakatishaji fedha. Serikali ipo kimya

    Tungekuwa na Taasisi imara za kupambana na Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha, basi Diamond na Mke wake wangekuwa washahojiwa. Japo waelezee waloleta hela wana uhusiano gani. Wasanii wa bongo wanashiriki kutakatisha fedha.. Kwenye Kitchen party, Harusi(zinazovunjika baada miezi kadhaa)...
  13. JamiiForums Tanzania Yusuf Makamba na January Makamba wanalambia wapi Asali kwa sasa? Mzee amekuwa kimya sana

    Mzee Bwatubwatu, Mungu akikunyima akili angalau akupe busara . Ukikosa vyote huwa ukipewa chakula ukala ukashiba basi unaanza kutoa gesi tu bila aibu. Kwa sasa Makambas wamekuwa Makambakos. Kimya sana. Nao wametengwa. Wapo nje ya mfumo. Hawana heshima kwa Mungu wala kwa Shetani. Ndo ubaya wa...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi AI Inavyoharibu Maisha Yako Kimya Kimya

    Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna mabadiliko ya kimya kimya yanayotokea kwenye ubongo na maisha yetu ya kila siku: 1. Inaua Uwezo wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliambiwa Mwendokasi Gongo la Mboto ingeanza Julai 1, 2026, tunaelekea Agosti 2026, kimya

    Tuliambiwa huduma ya mabasi ya Mwendokasi njia ya kwenda Gongo la Mboto itaanza kupatikana 01/07/2026 lakini mpaka sasa kimya wahusika watupe majibu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi unawatakia nini vijana ? Ya tarehe 29 uliyakalia kimya unataka vijana waingie barabarani kwa ulinzi upi ?

    Na katika hali ya sasa katiba imeshindikana kabisa kupatikana kwa njia ya kidiplomasia Kwa muda mrefu zimekuwa ni sinema zetu za kujirudia Vijana wengi sana tumewapoteza waliouwa wakitaka katiba mpya na kilele kilikuwa ni October 29 Je muda huo Nchimbi alikuwa wapi akikemea ? ndie anataka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukiona ukatili mtandaoni, usikae kimya na Usishiriki. Tunaweza kubadilisha mtandao uwe salama kwa kila mtu

    Je, umewahi kuona chats za watu zikisambazwa mitandaoni huku wengine wakicheka na kuendelea kuzishare? Wengine huenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya wahusika, vyeo au hata ndugu zao nk. Huo ni ukatili wa mtandao kwani mawasiliano mengi hufanyika kwa faragha kati ya watu wanaoaminiana. Pale...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza Bana: Kumbe Hamisa Mobetto ni mtoto wa Mwanza halafu hamsemi mmekaa kimya?

    Hivi hapa Tanzania kwa sasa kuna mwanamke ana fuatwa na wana wake wa Tanzania kama Hamisa Mobetto? Kuna mwanamke ana nyota Kali ya kupendwa kama Hamisa Mobetto? Nilikuwa sijui bana kumbe Hadi Wikipedia inamtambua Hamisa Mobetto kama mtoto wa Mwanza. Halafu watu wa Mwanza mmeuchuna hamuitumii...
  19. JamiiForums Tanzania Tunapoteza mwelekeo: Kwa nini kelele nyingi kwenye michango ya Tonetone, lakini kimya kwenye fedha za umma?

    Kuna jambo ambalo Watanzania tunapaswa kulitafakari kwa kina. Katika kipindi hiki, mjadala mkubwa umeibuka kuhusu tuhuma zinazomhusisha kiongozi wa CHADEMA, John Heche, kuhusu fedha za michango ya wananchi. Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa kwa haki na kwa kufuata taratibu za chama na sheria...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha - Morogoro) mpaka sasa kimya, kama mradi haupo watuambie

    Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne unaohusisha ushirikiano kati ya Sekta Binafsi na Serikali (PPP) haujulikani umekwama wapi! Ni miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…