Yaani mimi kutumia tu hela yangu kwa matumizi yangu naona naumia.
Je, Kwa kumtafutia viza, kumsafirisha mpaka London mtoto wa mama mkwe, kufunga nae harusi, kumlea na kumsomeshea mwanae uliyemkuta nae kwa pesa yako..... eeeh watu kuweza.
Sometimes naona hata sio suala la uzuri au age imeenda...