Wasalaam,
Niseme nimesikitishwa mno, tena kupita maelezo, mtu tuliyekuwa tunaheshimiana sanaa, tunaitana "wakuu", kila tunapokutana kwenye nyuzi hapa JF, "mkuu" ni nyingi, mkuu wangu akanipa mchongo wa kuwekeza mahali fulani huku akijinasibu kuwa yeye anakula mafao (millions) ya uwekezaji wake...