kitu gani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulijifanya mjuaji kwenye kitu gani ukaishia kugharamika zaidi kutatua tatizo la gari?

    Hapo zamani kidogo nilienda kuchaji betri ya gari, kesho yake narudi nalo sikutaka msaada wa fundi, nikaingia youtube nicheki wazungu wanafanyeje ku connect, Mambo ya DIY Do it yourself, kujifanyia mwenyewe nikiwa najipa moyo hakatwi mtu hapa, siwezi kutoa pesa kirahisi wakati nina bando na...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliaminishwa kabla ya kuanzisha biashara, ila ulipoingia uliona mafanikio au mauzauza

    Katika maisha yetu huwa tunakutana na shauri mbali mbali, inaweza kuwa pindi tunajitafuta au nyakati tumejipata. Mimi nliaminishwa nikianzisha biashara ya chips, inalipa sana na watu lazima wale. Aisee nlifunguliaga goli huko kigamboni mitaa ya midizini nkaishia kula chips mwenyewe na zingine...
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

    Kama kuna mtu anajua nini huyu jamaa alokosea atutonye maana alikuwa waziri mbunifu na mwenye uwezo wa hali ya juu wa kujieleza
  5. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa kumbuka Ukweli ni kitu gani

    Utamwelezaje MTU kwa maneno mazuri ambapo askari anampiga 'mwanamke' anayekimbia risasi. Je, huyo ni Askari aliyepitia mafunzo? Ukumbuke familia zao zipo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je! Ardhi Inapokunywa Damu ya Kutosha ni Kitu Gani kinachotokea?* 💫💫💫💫💫

    Kwanza kabisa ndugu mpendwa ni vyema ukatambua kuwa, damu imebeba uhai wa mtu. Maana Biblia inasema " Linda sana moyo wako maana humo ndimo zitokamo chemchemi za uzima". Lakini Biblia inaendelea kusema, "kuleni wanyama lakini msile damu zao, maana damu zimebeba uhai wao". Kisa cha Henoko na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani tunapawa kufanya kama Vyombo vyetu vya maamuzi havitendi Haki Kwa Wananchi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka Kwa Wananchi ya kwamba,Vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kuwatetea wananchi Kwa Mujibu wa Katiba Sheria havifanyi hivyo,badala yake vinaendelea kulinda maslahi ya wanasiasa walioko Madarakani huku wananchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi identify yetu wa Afrika ni ipi hasa? Yaani kitu gani ambacho tuko proud nacho tuseme it our own?

    Hivi hawa watu ambao tunatumia vitu vyao wanajisikiaje? Hivi chanzo cha Waafrika kuwa hivi ni nini? Ni mindset zetu ziliharibiwa na wazungu yaani kutufanya wao tuwaone bora ila vya kwetu tuvione si chochote wala si lolote na hivi waAfrika miaka na miaka tuneshindwa kutengeneza vya kwetu kuanzia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulitamani kukijaribu lakini ulipojaribu ukaapa hutakuja kurudia tena

    WEKA EXPERIENCE YAKO YA JINSI KITU ULICHOTAMANI KUKIFANYA KILIVYOKUTIBUA SIKU ULIPOKIJARIBU, HUJI KURUDIA Kuna vitu unaweza kutamani kuvijaribu lakini vinakukataa kabisa. Mfano ni vilevi, baadhi vinakubali lakini vingine vinakataa kabisa, huna budi kuviacha. Experience yangu hii hapa Kwa muda...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulipitia katika utafutaji kazi hutosahau?

    Tuambie changamoto ulizopitia ili tujifunze, je ulitoa pesa, ngono, uchawa, ulienda kwa mganga,au ulipitianini? Mimi bado natafuta job
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  13. JamiiForums Tanzania Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
  14. JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  15. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kitu gani ukikisahau nyumbani, hata ukishafika kazini lazima urudi ukakichukue?

    Wakuu 🔊 Tumekuwa na siku tano za kazi… je, imeshawahi kukutokea ukasahau kitu nyumbani mpaka ukalazimika kurudi kukichukua kwa sababu bila hicho kitu huwezi kabisa kuendelea na kazi yako? 😅 Tuchambue hapa, tupige stori. Mimi iliwahi kunitokea kusahau laptop nyumbani, bila hiyo siku nzima kazi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupendi kuambiwa ambiwa kuhusu wewe yaani kinakukera?

    Kuna watu wanapenda kufuatilia maisha ya watu ambapo hutoweza kuwaepuka lazima ukutane nao tu. Watu hawa lazima kuna kitu wakiongea unahisi wanakukera. Kuna mambo kadhaa k.v 1.Wewe ni mweusi, 2.wewe ni handsome kumbe kuchoranatu 3Umeoa? au utaoa lini umri umeenda 4.Umeolewa? Utaolewa lini...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kitu gani hua kinakukata stim ukikiona kwa mwanamke mkiwa mnaanza mtanange??

    Habari za wakati huu wanajamvi. Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na kubaki na maswali kichwani tu. Ila kutokana na utomvu wa nidham wa shahawa inabidi upige tu hata...
  19. JamiiForums Tanzania Unakumbuka kitu gani kuhusu Channel ya TV1

    Januari 10, 2014, historia ya televisheni nchini Tanzania ilibadilika kwa kuzinduliwa kwa kituo kipya cha TV1, kupitia StarTimes Channel nambari 103. Ikiwa sehemu ya kituo cha Viasat 1 kutoka Ghana, TV1 iliingia sokoni kwa kishindo, ikibeba ahadi kubwa ya kubadilisha jinsi Watanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya vijana duniani. Kama kijana ikatokea dunia yote ikakusikiliza kwa dakika ungesema kitu gani?

    Wakuu, Leo ni siku ya vijana duniani. Yaani kila mtu ambaye ana umri kuanzia miaka 18 hadi 35 Binafsi ningepewa nafasi ya kusikilizwa kwa dakika moja na dunia yote ningeomba nchi zote zifute majeshi yote. Yaani kusiwe na wanajeshi (demilitarization & disarmament ) Kuwe na polisi tu lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…