Huwa siachi kujiuliza. Tangu CCM itekwe na mafisadi, kuna kitu cha maana au kizuri tunaweza kujivunia kama watanzania?
Kila uchao, kuna matukio ya utekaji, tunapotezwa, tunatishwa, na watu wasiojulikana tunayonywa, tunadharauliwa, tunauzwa na kubinafsishwa, tunanyamazishwa, tunachanganywa na...