kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sehemu gani nzuri kujenga moshi mjini yenye jamii mchanganyiko kipato cha kati

    Sina mpango wa kujenga katika maeneo ya kifahari yanayoishi watu wenye kipato cha juu sana. Ningependelea kujenga maeneo ya watu wa kipato cha kati, yenye makazi ya kawaida na nyumba za milioni 40 hadi 100. Pia, ningependa eneo hilo liwe na jamii mchanganyiko, linalokaliwa na watu wa makundi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  4. JamiiForums Tanzania Siri ya Mafanikio: Kwanini unapaswa kusoma Biashara Zilizokufa (Cadaver) kabla ya Kuanzisha biashara yako!

    Wakuu salama! Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Kuchoma si kujenga, kuharibu si kushinda

    TUSIRUHUSU TOFAUTI ZETU ZITEKETEZE KILE TUNACHOPASWA KUKILINDA KWA PAMOJA. Oktoba 29 iwe kumbukumbu inayotufundisha, si alama ya uharibifu tunayojivunia, Tanzania ni yetu sote, tusiiache hasira ya siku moja iharibu matumaini ya miaka mingi. #Tumechaguaamani #Haturudiitena #Tanzanianiyetusote...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kwanini hatuna mijadara ya kujenga mfano Barabara zetu na huduma za umma , bungebubu ufisadi, na makakama iliyopoteza uhuru wake

    Habari ya kuyimuka Wadau, Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani. Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri kijana anayejitafuta amuangalie Rostm Aziz kama icon kwenye kujenga mipaka

    Habarini! Nadhani kwa umri ninaweza kuwa mkubwa kidogo kuliko RA, ambaye ni mdogo wangu. Lakini nina jambo ambalo ningependa kuwashauri wale wote walio tayari kushaurika, hasa vijana wanaojitafuta na wanaotaka kufika mbali kimaisha. RA ni mtu smart, ingawa kama binadamu mwingine yeyote anaweza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  9. JamiiForums Tanzania SUMA JKT watengeneze drone, missile, bunduki, Armoured vehicles n.k na sio kujenga barabara au majengo

    Binafsi naona sio sawa kwa SUMA JKT kujenga barabara, majengo na nyinginezo kama hizo Kuanza qualification za kwenda jeshi iwe ni JKT au JWTZ ziwe ni form six aliyefaulu kwa dv 1 au 2 Naamini SUMA JKT wajikite kwenye kutengeneza vifaa vya kijeshi kuanzia kwenye tafiti research mpaka kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Historia ya Mzee Joseph Mfugale kutoka kijijini Iringa na kujenga Peacock Hotel jijini Dar es Salaam

    Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto. Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi. Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri gani unaoweza kumpa mtu anayeanza kujenga?

    Habari Wakuu, Nimeona niulize hili swali maana wengine bado tupo kwenye nyumba za kupanga mara wengine kwa wazazi lakini purukushani zinatufosi tuwaze au hata tayari tumejipata tunataka kuanza kujenga. Pia Naamini wapo ambao tayari wapo kwenye nyumba zao hivyo wana uzoefu sana katika masuala ya...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango wowote wa kuja kujenga daraja Kitonga ?

    Katika huo mpango wa CCM wa uchumi wa $ Trillion 1 kufikia mwaka 2050 wana mpango wowote wa kujenga daraja la barabara ya juu (viaduct) Kitonga au wataendelea na mbinu za kienyeji tu za kuchimba ukuta na police wa pikipiki.
  14. JamiiForums Tanzania Kenya itawachukua miaka 50 kujenga reli ya umeme.

    Kutokana na ufisadi unaoendelea nchini Kenya wa kuongeza gharama ya miradi ili kujipatia 10% itawachukua miaka 50 ijayo kujenga SGR yenye akili kama ya Tanzania ambayo ina hadhi Sawa na za Ulaya. SGR ya Tanzania unaweza kutumia umeme au mafuta na unaweza kwenda kwa speed ya 160km kwa saa. SGR...
  15. JamiiForums Tanzania Kama alivyosema Lema ninamshauri mbunge Makonda kutoboma na kujenga upya alama zinazotambulisha mji wa Arusha bali aziboreshe tu.

    Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
  16. JamiiForums Tanzania DC Nickson Simon John awataka watumishi Songwe kujenga utamaduni wa kazi unaotoa matokeo

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi. Akizungumza katika kikao...
  17. JamiiForums Tanzania Samia Usitumie kodi za wananchi kujenga msikiti Arusha.

    Acha misikiti ijengwe na waumini wa dini husika, changia fedha toka kwenye mshahara wako binafsi au miradi yako au hata itisha harambee. Kwakifupi fanya kama ulivyoshauriwa na Mwigulu Nchemba hadi ukamnunia ila ule ndio ukweli. Kumtumia Makonda kutekeleza hili jambo na huku ukijua wazi kuwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Makabila wanawake husifiwa uvumilivu, wasiofuata mali, hujenga familia za kudumu hadi kifo na huchepuka kwa tahadhari bila kuvuruga ndoa zao

    1. Wabena 2. Wahehe 3. Wasukuma 4. Wakurya 5. Waha Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto za kujenga tabia mpya

    Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku...... Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…