kuku

  1. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hatua kwa hatua jinsi Bastola "Mguu wa kuku" inavyotengenezwa

  2. JamiiForums Tanzania πŸ” Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! πŸ“±πŸ’°

    Habari ndugu mfugaji! πŸ‘‹ Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi πŸ’ͺπŸ“ Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii πŸ‘‡ πŸ“‹ Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  3. JamiiForums Tanzania Tupike pamoja wali nazi, maharage nazi na miguu ya kuku

    Leo siku ya Ijumaa niliamka nikiwa nina hamu ya kula kitu kichachu chachu japo sina 🦎 wala nini. Asubuhi huwa naamka na hii detox special kwa ajili ya kupunguza uzito. Imenipunguza toka huko niliko mpaka sahv kwenye kg 75. Huwa nina program hiyo kwani hukata uzito balaa na huwa nakuwa nayo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

    Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari. Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
  5. JamiiForums Tanzania JE WALIJUA SHAMBA LA KUKU BORA?

    πŸ“S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITEDπŸ“ AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ πŸ“ β˜ŽοΈ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  6. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRIπŸ€·πŸΏβ€β™‚οΈ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! πŸ“ Mwanza | πŸ” Mashamba Mawili | πŸ’‘ Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  7. JamiiForums Tanzania Unataka Kuku wanaotaga Mayai mengi? Hawa ndio 5 bora wanaokuachia mpaka 318 Mayai kwa mwaka!

    Hello Wafugaji wenzangu πŸ‘‹πŸ½, Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
  8. JamiiForums Tanzania Nimegeuzwa fursa? - nimeuziwa ndege John badala ya kuku?

    Ni kwenye moja ya hizi hotel yanaposimama mabasi ya ruti ndefu za mikoani. Tuliambiwa huyo ni kuku nikaagiza nipewe paja moja chap lakini kwa ukubwa wa mapaja ya huyo 'kuku' mwenyewe na 'uwingi wa nyama' yake na utofauti wa ngozi ya juu unanifanya nijiulize kama kweli huyu ni kuku halisi au ni...
  9. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  10. JamiiForums Tanzania Chakula cha mchana: chips kavu, yai na kuku kidari

    Karibuni, Raha jipe mwenyewe, kula chips yai haviondoi uanaume wako.
  11. JamiiForums Tanzania πŸ” Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! πŸ˜©πŸ‘‡ 1️⃣ Bajeti πŸ’Έ – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: πŸ”Ή Chakula πŸ”Ή Dawa πŸ”Ή Vifaa πŸ”Ή Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  12. JamiiForums Tanzania Watu 12 wafa kwenye vita vya kuku

    Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi. Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku. Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Singida yaanda kuku choma wa kienyeji kulisha wageni zaidi ya 6000 kuelekea Mei Mosi

    Katika kuelekea kwenye sherehe za Mei Mosi, Kitaifa mkoani Singida, pamoja na mambo mengine wiki moja kabla ya maadhimisho, mkoa umewahakikishia wageni zaidi ya 6000 kutoka ndani na nje ya nchi pamoja na wakazi wa Singida, kutakuwepo kiburudisho cha kuku choma wa kienyeji zaidi ya tani moja na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu kuwa ukiwa na kuku 100 wa mayai, unaweza kujipatia kati ya Tsh 300,000 hadi 720,000 kila mwezi?

    Hii ni fursa halisi kwa wale wanapenda ufugaji na kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa, hata kama wanaishi mijini au wana eneo dogo. Kuku wa mayai mwenye lishe bora anaweza kutaga kila siku au karibu kila siku. Kwa bei ya sasa ya yai (300–400 TZS), unaweza kupata kipato kizuri, cha kila...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - natafuta Dawa ya mafua ya kuku

    Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
  16. JamiiForums Tanzania Kuku Makucha (Parody)

    Nimekutana na hii picha kwa kweli nimecheka sana. Na tunaishi wa watu wenye mawazo ya mbali sana. Don't take it serious it's for fun tu πŸ˜ƒ
  17. JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    πŸŽ₯ Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi hapa aina 12 za kuku wanaoongoza kwa utagaji mzuri zaidi

    Wakuu nimetota sehemu. Hivyo sote kwa pamoja tujifunze. Karibuni. Uzalishaji wa mayai ni sekta muhimu duniani kote, na kuku wa mayai wana nafasi ya msingi katika sekta hii. Kuna aina kadhaa za kuku wa mayai, kila moja ikiwa na sifa za kipekee. Katika makala hii, tutaangazia baadhi ya aina...
  19. JamiiForums Tanzania Fumbo hili la kuku lina maana gani nyumbani kwangu?

    Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba. Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na jike. dume a.k.a jogoo alikuwa mwekundu, na Yule jike alikuwa mweupe mwenye mabaka mekundu. Broiler...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…