kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoogopwa na kufichwa na watawala; Wanaharakati ni bora kuliko wanasiasa.

    Unaweza kujiuliza nini kinasababisha tabaka tawala kushambulia na kuchukia sana wanaharakati. Jibu ni rahisi sana, wanaharakati wanatishia "status quo" ya watawala, popote pale Dunia katika Karne ya 20 na 21 hakuna mabadiliko makubwa ya kubadilisha au mageuzi ya utawala yaliyowezekana bila...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini friji yako inakula umeme kuliko pasi? Siri ya inverter unayopaswa kujiua.

    Watanzania wengi tunadhani Pasi au Jiko la umeme ndivyo vinamaliza LUKU. Lakini ukweli ni huu: 👇 Pasi unatumia dakika 15, jiko unatumia saa 1, lakini Friji linatumia saa 24 kila siku. Kama friji lako siyo la teknolojia ya Inverter, basi unamiliki "mnyonyaji" wa siri ndani ya nyumba yako. Hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Chips za Vibandani ni tamu kuliko zile tunazopika nyumbani?

    Nauliza tu maana nimetoka kula Chips za home lakini ukilinganisha na zile ambazo zinakuja kwenye foil na mitaani zinakuwaga tamu balaa na hata mpishi mwenyewe aliyepika anasema kabisa zile za mtaani zinakuwa bomba sana Nimekula Chips za Nyumbani na nimekula Chips za vibandani lakini mara nyingi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Ualimu unalipa zaidi kimaslahi kuliko Siasa, ukiwa mwalimu unaenjoy

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza kwenye mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast, amesema wakati akiwa kama Mkufunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam maslahi katika ualimu unalipa zaidi kuliko kwenye Siasa "Kuwa mwanasiasa ina...
  5. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani. Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka. Maduka na...
  6. JamiiForums Tanzania Vaa KONDOMU. Kinga ni bora kuliko Tiba

    Vaa KONDOMU jikinge na maambukizi yasiyo na sababu. Kumekua na kawaida wanawake hawataki uvae condom wanataka upige kavu. Nakukumbusha vaa Condom.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Katambi: Hakuna mtu aliyembabe kuliko Serikali, yoyote atakayetishia usalama wa Nchi atakuwa halali wa vyombo vya ulinzi na Usalama

    VIDEO:Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa wito kwa Watanzania kuheshimu utawala wa kisheria na mamlaka ya serikali nchini Tanzania huku akitoa onyo kwa wale wanaofikiri kuwa wanaweza kuwa juu ya sheria.Akizungumza na waendesha bodaboda, bajaji, na machinga mkoani Dar es...
  8. JamiiForums Tanzania Bora dada poa anaweka bei kuliko hawa wameficha bei.

    Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali. Kichwa cha habari kishajieleza hapo juu. Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama bidhaa zilizopo sokoni na madukani. Bora wale wengine wanakwambia kabisa bei ili ushindwe wewe au...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
  10. JamiiForums Tanzania Kulea mtoto wa kiume ni ngumu kuliko wa kike,

    Tuwe makin sana Kwakuwa mmmm watoto wanaharibika sana hasa wa kiume wanaokulia pwani na dar
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  12. JamiiForums Tanzania " Pepo" ya Mashahidi wa Yehova (Jehovah Witnesses) ndio pepo bora kuliko zote

    Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na " ZOMBOKO" . But mimi sio tena Muislamu wala Mkristu.. Baada ya kutafakari maisha kwa kina sikuona...
  13. JamiiForums Tanzania Homa ya ini ni hatari kuliko ukimwi?

    Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu. Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa kuambukiza kwa kasi ya mara 50 hadi 100 zaidi ya virusi vya UKIMWI (HIV). Pia, virusi hivi vinaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Marvel Inaonekana Bora Kuliko DC Katika Ulimwengu wa Filamu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Marvel Studios imefanikiwa kujijenga kama kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa filamu za mashujaa duniani. Ingawa DC ina baadhi ya wahusika maarufu zaidi kuwahi kuundwa kama Batman, Superman na Wonder Woman, bado Marvel imeweza kutawala soko la filamu kwa kiwango...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini waislamu wanaona mbwa ni haramu kuishi nae ila historia inasema mbwa ndio kaishi na binadamu kuliko paka.

    Kuna tafiti na zilishakuwepo sana ila uwezi kusema mbwa ni haramu kuishi nao. Jamii ya mbwa tokea kuwepo mwanadamu walianza kuwa marafiki au kutafuta urafiki ulianza hivi. Mbwa walikuwa ni jamii iliyoshindwa kukabiliana na wanyama wenye nguvu kwenye kundi lao la jamii kama simba na wote wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar ya Zamani Ilikuwa Mbele Kuliko Bara – Kwa Nini Leo Imerudi Nyuma?

    Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  19. JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam Jiji, linalokua haraka kuliko Mipango yake

    DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
  20. JamiiForums Tanzania Yawezekana Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa mzuri kuliko yote Tanzania

    Katika siku zangu hapa Tanzania nimefanikiwa kuishi mikoa ifuatayo Dar Morogoro Iringa Mbeya Njombe Kagera Manyara Mwanza Lakini katka mikoa hyo sikuona mambo makubwa ya kufurahia mpaka nilipofika mkoa wa Kilimanjaro Aisee huu mkoa n mzuri hali ya hewa yake n nzuri , uchumi mzuri warembo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…