kunywa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masikini wapigwe marufuku kunywa kulewa?

    Pombe na sigara ni kati ya bidhaa zinazoingizia nchi hela nyingi kwa njia ya kodi. Ingawa ni bidhaa iileteayo Serikali ukwasi mkubwa, ina madharabhasi kwa baadhi ya watu hasa masikini. Ilishawahi kutokea, na hata sasa hali inaweza ikawa hivyo kwa baadhi ya maeneo, ambapo: 1. Mwanaume anaenda...
  2. Mazingira ya Mashine za maji ya kunywa ya bure kwa Wananchi Dar es Salaam haziko salama, Wizara ya Afya fatilieni kinachoendelea

    Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati na maeneo tofauti. Ukipita baadhi ya maeneo yaliyopo pembezoni mwa barabara kwenye Jiji la Dar es...
  3. Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  4. Kwanini mahotelini huduma ya maji ya kunywa huwa Bure na kwa unyenyekevu mkubwa Toka kwa mmiliki wa hoteli

    Habari wakuu I real hope you are doing good Nimekua nikijiuliza kwanini mtu anapoenda mgahawani kuomba huduma ya maji ya kunywa pasipo kuitaji hudumu upata mapokezi mazuri hita pale ambapo mmiliki wa mgahawa anapokua na mauzo yasiyoridhisha Hii imekaaje ndugu zangu?
  5. Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
  6. Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    Kutokana na hali ya uchumi kuwa mgumu vijana wengi wameangukia kwenye unywaji wa pombe za bei rahisi zinazolewesha haraka kama sungura, master, jogoo nk. Ukiwa mtumiaji wa hizi pombe huwezi kufanikiwa kimaisha, hizi pombe zinapunguza uwezo wa kufikiria Kuna wengine wanakunywa hizi pombe za...
  7. U

    Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  8. Ni dawa gani ya fangas ya kunywa yakuondoa mautango utango mwilini?

    Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
  9. Kunywa maji ya Moto baada ya kufanya mazoezi

    HII NI YA MWISHO SITOWAFUNDISHA KILA KITU! Baada ya kufanya mazoezi, kazi ama shughuli yeyote kunywa maji ya moto ni mazuri kiafya. Maji ya baridi yanapopita kooni yana regulate joto la damu kupitia mishipa ya caratoid arteries Mishipa hii upeleka damu kwenye ubongo na huonekana mwili upo...
  10. Afariki baada ya kudaiwa kunywa "Smart gin" nne

    Ni Jamaa yetu wa kata ya rahaleo alifunga siku zote leo asubuhi sana hata kuswali hajaenda akaamua kufungulia kazi na pombe kali aina ya smart gin(kisungura) akapiga mbeta kama vile anakunywa soda lengo asipate hasara ghafla bin vu kakata moto.
  11. Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  12. Leo ni siku ya maji kimataifa, je kwa siku unakunywa maji kiasi gani?

    Machi 22 kila mwaka ni Siku ya Maji Duniani inayoadhimishwa na Umoja wa Mataifa. Siku hii hutumiwa kuhamasisha usimamizi endelevu wa rasilimali za maji safi. Je, unakunywa kiasi gani cha maji kwa siku?
  13. UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  14. Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Peace, Awali ya yote niweke wazi andiko langu halina kusudi la kuhafifisha au kuathiri biashara ya mtu yeyote ila ni ushuhada wa kweli na dhairi wa watu wanaonizunguka. Nimekuwa nikisikia na kuona vijana wengi wakipendelea vinywaji vya kusisimua mwili alimaarufu "energy drinks" ziko za aina...
  15. Ambao hatujawahi kunywa pombe au kuvuta sigara, tukutane hapa

    Katika ukuaji wangu wote hadi leo, sija wahi kuvuta sigara au kunywa pombe. 👉Sio ushamba ila hivyo sio vipaumbele vyangu. Vipi Kuna wenzangu na mimi??
  16. Watu wa Gaza waanza kula majani na kunywa maji machafu

    Tangu vita kuanza vyakula vimekuwa vikiingia eneo hilo kwa shida sana na ni asilimia chini ya 10 ya mahitaji ya kawaida. Pamoja na hivyo ujasiri na uvumilivu wa wapalestina umewafanya waendelee kusihi kwa kidogo wanachopata mpaka pale Israel ilipotia fitna ya kutaka hata hicho kidogo...
  17. C

    Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Wasalaam Hii nimeshuhudia sana. Kama mtu anakunywa pombe ni rahisi kuwapata Wanawake ila kama hunywi ni ngumu sana. Najiuliza sana sababu ni nini.
  18. Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  19. Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje. Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...
  20. Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…