kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
  2. J

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  3. Haya huwezi kupiga Bao la Mimba, andaa Shilingi Milioni 14 zako Muhimbili Hospitali wakupigie Bao lao upate Mtoto

    Mkurugenzi wa Huduma za upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dkt Rachel Mhavile amesema Mnamo Septemba 24, 2024 serikali ilifanikiwa Kwa Mara ya Kwanza kuanzisha Kituo Cha upandikizaji wa mimba katika Hospitali za Umma Nchini ambacho kimegharimu Bilioni 1.72 Amesema katika kipindi Cha...
  4. Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  5. J

    Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  6. Kupiga kura katika jamii ambazo zinagombania madaraka

    Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
  7. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  8. Pre GE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  9. Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  10. Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  11. Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  12. FEBRUARI 6: Siku ya Kimataifa ya Kupiga Ukeketaji

    MAELEZO MAFUPI (DONDOO) KUHUSU UKEKETAJI NA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA KUTOKOMEZA UKEKETAJI Maana ya Ukeketaji Ukeketaji ni kitendo cha kimila kinachotekelezwa na baadhi ya jamii ambapo sehemu ya nje ya via vya uzazi vya mwanamke huondolewa, huchanjwa, hukatwa ama huharibiwa kabisa...
  13. W

    Baada ya kupiga picha ya passport size nimestuka sana kuona sura ilivyozeeka, vioo huwa vinatudanganya ?

    sikuamini nachokiona, niliomba picha yangu irudiwe ni vile vile nikaenda kupiga sehemu nyingine lakini matokeo ni yale yale. kila siku nikijiangalia kwenye kioo sioni tatizo
  14. K

    Je, ni kawaida battery kupiga kelele wakati inachaji?

    Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
  15. Wadau mnishauri hivi January hii naweza kupiga lenta

    Nimepata vijisenti vya kuniwezesha kufunga lenta sasa naona hali ya hewa imekunja sana mvua zimeanza vipi nikifunga itakuwa poa? maana kukaa na pesa nako ni kipaji
  16. Hivi kuna fedheha kubwa kwa mwanaume kuzidi ya kushindwa kupiga show

    Hii habari nimekuwa nikiisikia tu, ila juzi kati imenitokea live bila chenga 😆 😆 😆 😆 😆 😆. Mnara ulikua kama upo ndani ya maji wazee, ile piss ikabidi tu inipe pole. na kuondoka zake Nilijisikia vibaya sana mazee.
  17. Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

    Elon Musk aendelea kutembeza bakora kwa makampuni ya simu Baada ya kuleta mageuzi katika ufikiaji wa mtandao wa kimataifa, Starlink ya Elon Musk iko tayari kupeleka muunganisho wa simu mahiri kwenye kiwango kinachofuata. Huduma hiyo kabambe ya setilaiti hivi karibuni itawawezesha watumiaji...
  18. Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? (vipofu)

    Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri? Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala zinakoelekea inanipa maswali mengi sana Huwa napata maswali makubwa matatu? 1: Abiria hawafahamu...
  19. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  20. Waandaaji wa pambano la knock out ya mama mlipaswa kutumia brass band za majeshi yetu (TPDF, JKT, polisi au magereza) katika kupiga nyimbo za taifa

    Nimeshangazwa kuona waandaaji wa pambano hili ambalo linatazamwa Kimataifa na lina Jina la Mkuu wa nchi huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa well organized katika kuhakikisha nyimbo za Taifa zinapigwa katika ubora unaostahili badala ya kutumia recorded...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…