kupisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tunachoshwa sana na kupisha vingora barabarani hapa Dar Es Salaam

    Mambo haya.yalianza kwa Magufuli lakini.sasa yamezidi. Kila mwenye kingora kwenye gari anataka akiwashe.apishwe njia.zenyewe ziko kwenye ujenzi uchwara.wa.mwendokasi. Wananchi tuna sumbuliwa.sana.na watu wanaojifanya.wanawahi na. Kuwasha vingora. Tunaomba kauli na.hatua.zichukuliwe haraka...
  2. P

    Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  3. John Heche anaunga mkono Mbowe kupisha nafasi ya uenyekiti wa Chadema taifa kwa heshima

    John Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata Heche hakubaliani na kauli ya #Mi5tena. Msimamo wetu hautaturudisha nyuma. Ni ama Mwamba avuke na...
  4. M

    Pre GE2025 Lissu aelewe Ukomo wa Madaraka siyo kwa wenzake tu hata yeye anahitajika kupisha Damu Changa

    Niendelee kutanguliza Msimamo wangu kuwa mimi pia ni Shabiki wa Lissu nakubali akili kubwa aliyobarikiwa,uwezo wa kujenga na kupangua hoja, Uwezo wa kusimamia anachokiamini hadi mwisho, Ujasiri, na hivi karibuni kanifurahisha aliposema hata akishindwa hatatoka CHADEMA ingawa kwa analysis...
  5. Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
  6. KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  7. Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  8. W

    Stendi ya Mawasiliano kufungwa rasmi kupisha ujenzi wa karakana ya Mwendokasi

    Kituo cha Daladala Simu2000 kimefungwa leo Septemba 14, 2024 kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi. Karakana hiyo ni kwa ajili ya mradi wa mabasi hayo awamu ya nne. Viongozi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kupitia Mkuu wa Idara ya Biashara, Viwanda na...
  9. M

    Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
  10. J

    RC Makonda awasimamisha Kazi watumishi 13 Arumeru kwa ubadhirifu wa tsh million 600, yumo Mganga mkuu wa Halmashauri!

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600 Source Mwananchi Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥 == Watumishi 13 wa sekta ya afya kutoka Halmashauri ya Arusha Dc wilayani...
  11. Kama asili ya Wazanzibari ni bara, kwa nini wasihamishiwe huku bara kwenye maeneo ya wazi kupisha watalii

    Kwa maelezo ya wataalam ni kuwa karibu watu wote wa zanzibar wametokea bara kiasili. Kwenda wenyewe, kupelekwa na waarabu, au walowezi kutoka bara asia (wachache). Kwa namna Tanzania tulivyojichanganya ni uongo kusema tuvunje muungano au tuwe na serikali tatu au hizi mbili lalamikiwa. Nashauri...
  12. PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa Miongoni mwao Napenda kumtaja bila kuogopa na nikitembea Kifua Mbele Dkt. Gwajima D. Kiukweli kabisa...
  13. Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
  14. Wakati umefika sasa kwa uongozi mzima wa Simba ujiuzulu kupisha wengine

    Kelele na malalamiko yamekuwa mengi kwenye klabu ya Simba. Kuanzia kwenye masuala ya usajili wa wachezaji, matokeo uwanjani, malalamiko ya kuonewa ndani na nje ya uwanja, hadi utendaji wa kila siku wa klabu kote huko malalamiko yamekuwa mengi mno. Kwa muda sasa Simba imekuwa inahangaika huku na...
  15. Je, umeshawahi kushushwa kwenye daladala ili kupisha zoezi la ujazaji mafuta?

    Kwanini madereva wa usafiri wa umma na binafsi hawafuati utaratibu wa kushusha abiria wanapoingia kwenye kituo cha kujaza mafuta?
  16. USA wamesema watasapoti “UN resolution” kusitisha vita kwa muda usiojulikana ili kupisha misaada ya kijamii!

    Habari ndo hiyo, ngoja tuone kama Netanyahu atatii. The United States is prepared to support a new draft resolution in the U.N. Security Council that calls for an indefinite pause in the fighting to permit more humanitarian aid to flow into Gaza, U.S. Ambassador Linda Thomas-Greenfield said...
  17. Mechi saba za NBC PL zahairishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Kimataifa

    Bodi ya Ligi Kuu imehairisha michezo saba ya NBC PL ili kutia nafasi kwa mchezo wa kirafiki kati ya Tanzania Bara Vs Tanzania Visiwani. Michezo iliyohairishwa ipo hapo chini kwenye picha
  18. Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  19. Wadau washauri Hamas na Israel kusimamisha vita kupisha mechi ya Simba Vs Al Ahly Oktoba 20, 2023

    Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote Africa ambalo litakua na ugeni mzito wa Rais wa FIFA, Rais wa CAF pamoja na marais wa vyama vingine...
  20. TRC yaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha ujenzi wa reli ya SGR kipande cha Tabora - Isaka

    Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendelea na zoezi la utwaaji ardhi kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa - SGR kipande cha nne Tabora - Isaka kwenye vijiji takribani tisa vilivyopo wilayani Nzega mkoa wa Tabora hivi karibuni Oktoba, 2023. Mthamini kutoka TRC Bw. Valentine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…