Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX
 
Tuuma zinaletwa na ccm ....... Kavulata😀
 
Ingekuwa kila tuhuma mtu anakaa pembeni, leo Emmanuel angekuwa anaongoza nchi
 
Kuendelea na hizi propaganda za kitoto na kijinga ni kuonesha jinsi gani CCM wanafikilia kupitia makalio. Yaani hivi mnadhani watanzania eti watafika sehemu wakubaliane na hizo propaganda za kijinga. You are just waste your time you fuckn bitch
 
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Unajielekeza vibaya, hakuna tuhuma hapo bali kuna udaku kutoka kwa chawa wa Samia. Tuhuma zingeandamana na vielelezo, siyo mtu kavimbiwa maharage yake anaitisha PC uchwara halafu anacheua uvundo wake wewe unaita tuhuma, unajidhalilisha sana.Huu udaku kumhusu Heche umewaumbua wengi wenu na pia hata kitengo chenu cha propaganda hapo Lumumba kimeonekana kuendeshwa na watu vilaza.
 
Pesa hizo ni za kwenu? Mbona mnapiga mayowe sana kwenye hilo mnajifanya wasafi hali ya kuwa report nyingi za cag huwa mnazipita kimyakimya
 
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Heche ni mkurya kabila lao Huwa halijibu machoko.
 
Unajielekeza vibaya, hakuna tuhuma hapo bali kuna udaku kutoka kwa chawa wa Samia. Tuhuma zingeandamana na vielelezo, siyo mtu kavimbiwa maharage yake anaitisha PC uchwara halafu anacheua uvundo wake wewe unaita tuhuma, unajidhalilisha sana.Huu udaku kumhusu Heche umewaumbua wengi wenu na pia hata kitengo chenu cha propaganda hapo Lumumba kimeonekana kuendeshwa na watu vilaza.
Ccm imejaa ndondocha
 
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Zile bilioni 40 za kagoda limited nani alipisha uchunguzi?
R.I.P Benjamin Mkapa
 
S
Tuuma zinaletwa na ccm ....... Kavulata😀
SEma hivyo kwa kutoa ushahidi, la sivyo unaenda kinyume na demokrasia ya uhuru wa kusema na kukosoa ndani ya chama. Yaani mwanachama akikosoa katumwa na CCM. Kweli demokrasia yetu ni maigizo tu.
 
Ni
Mkuu ni ileile mil 2 au umeongezwa?
Ni mulemule tu, viongozi wa Afrika ni walewale tu hata awe nani hawataki kukosolewa na wafuasi wao. Msiicheke CCM wala kuinyooshea kidole. Hamna maana kabisa nyie, hamdai demokeasia ila vibaraka tu na njaa
 
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Jambo ambalo hamjui hata Heche akiondoka leo then atakuja mwingine mkali zaidi
 
Ingekuwa kila tuhuma mtu anakaa pembeni, leo Emmanuel angekuwa anaongoza nchi
Kiongozi kutuhumiwa na wanachama sio kawaida. Kama unaona ni kawaida utakuwa huna tofauti na viongozi wa CCM mnaowapinga.
Pesa hizo ni za kwenu? Mbona mnapiga mayowe sana kwenye hilo mnajifanya wasafi hali ya kuwa report nyingi za cag huwa mnazipita kimyakimya
Nenda kawajibu wanachama wenu wanaohoji pesa kuliwa na comrade Heche.
 
Back
Top Bottom