King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Mke wa kaisari hatakiwi hata kutuhumiwa, Heche ana tuhuma nyingi za ubadhirifu wa mali za umma so apishe kiti ili uchunguzi uwe huru!
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.
View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Tulidhani nyie mtakuwa tofauti, kumbe looo!!Waompinga sio tu hufukuzwa, huzawadiwa na kifurushi cha kesi mbali mbali
View attachment 3630528
View attachment 3630532
View attachment 3630531
JOSEPH Selasini kawaambia mnaficha vichwa na kuacha makalio yenu nje. Sasa naona yako nje kweli
Sawa, hiyo ni hiari yenu, lakini huyu aliyetuhumiwa aonyeshe mfano wa kukaa pembeni kwa muda ili uchunguzi ufanyike na kama hana hatia atarudi tu.
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.
View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX
Kwanini cdm isionyeshe kuwa itakuwa tofauti na CCM kama itapewa ridhaa ya kwenda Ikulu? Sasa mbona nanyi ni kama wale tu? ... prent is known and secure... hebu tuacheni hukuhuku kwanza wakati mkitafakari kuhusu nini tofauti yenu na CCM.Wezi wa kodi zetu wamekaa pembeni?
Report ya CAG ulisoma au kusikia?
Je kuna yoyote amekaa pembeni.?
Sasa wale wa kwenye Report ya CAG ndio walitakiwa kukaa nje ya nafasi zao because ela walioiba ni kodi zetu
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.
Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.
View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX
Tuhuma ni tuhuma tu bila kujali imesemewa wapi na imesemwa na nani, kazi yako ni kujibu na kujisafisha baasi, sio kuita wanawake wakuteteee na kukuombea dua na kukuimbia mapambio huku wakibeza na kuwatukana watoa tuhuma.Wewe kwa kweli, kiakili ni kavulana.
Hakuna tuhuma yoyote dhidi ya Heche iliyotoka ndani ya CHADEMA..Tuhuma zinaltwa na mashetani ya CCM. Shetani akikusifia maana yake na wewe ni mwovu kama wewe. Heche kutuhumiwa na waovu wa CCM, ni ushahidi tosha kuwa Heche ni msafi. Ingeleta taharuki kubwa, tungesikia mashetani ya CCM yanamsifia Heche.
Kwanini cdm isionyeshe kuwa itakuwa tofauti na CCM kama itapewa ridhaa ya kwenda Ikulu? Sasa mbona nanyi ni kama wale tu? ... prent is known and secure... hebu tuacheni hukuhuku kwanza wakati mkitafakari kuhusu nini tofauti yenu na CCM.
Hakuna mwanacha isipokuwa nyie CCM ndio mnatumia njia za kitoto kuyatafuta maridhiano kwa kutumia pesa za walipa kodi kumchafua heche kwa sababu hataki maridhiano mpaka lisu atoke jelaKiongozi kutuhumiwa na wanachama sio kawaida. Kama unaona ni kawaida utakuwa huna tofauti na viongozi wa CCM mnaowapinga.
Nenda kawajibu wanachama wenu wanaohoji pesa kuliwa na comrade Heche.