Heche, dawa ya tuhuma sio wanawake kukufariji ni kujibu tuhuma na kupisha uchunguzi

Walishazoea siasa mdebwedo na kujiamulia mambo.Wapambane kwa hoja na majukwaa huru tuwatambue uwezo wa kufikiria kwao unapoishia.
Labda kama umesahau au hukuwepo wakati wa akina Lamwai, Marando, Lyatonga mrema, Mtikila, Maalim Seif, Lowassa wa NCCR-Mageuzi, DP, Chadema na CUF. Walikuwa ni zaidi ya Heche na Lissu mara 200, lakini walibana ngenge na kuishia utamu kama BigG.

CCM ni chama kikubwa sana kilichokusanya wasomi wote wa nchi hii, kinamiliki vyombo vyote vya ulinzi n usalama. Ni chama ambacho hakina kabila, dini, jinsia wala kanda , hakina mwenyewe. Kila kibila, dini, jinsia kanda wana equal chance ya kuwa kiongozi na mwanachama, ni vigumu Sana kukiangusha kwa kutumia kabila, dini, jinsia au jitihada za kikanda kidini. Kikabila au kijinsia. Huo ndio uimara wa CCM ulipo. Ukileta udini utambana na wenye dini hiyo ndani ya ccm, ukipambana kikabila utapingwa na wenye kabila hilo walioko CCM, ukitumia jinsia utapingwa na jisia. Hii nitofauti kabisa na chadema, kama ukirusha bomu kwenye maandamano ya chadema utawaua wachagga wengi, wapare kidogo, na wakurya, wasukuma na wanyakyusa kidogo sana sana. Lakini utaua wakristo wengi sana na waislam kidogo saana. Hakifai kuwa chana cha kitaifa. Hata ukifanya utafiti kwenye vurugu za oct29 utaugundua ukweli huu.
 
Kama Heche anaona wanaomtuhumu ni waongo mbona haendi mahakamani kuomba fidia ya kuchafuliwa? Mbona anakimbilia kuwafukuza badala ya kuwashitaki mahakamani?
0/100.

Jibu maswali niliyouliza.
 
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Nimeona sehemu anasema hajibizani na mbwa
 
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding others

"Watu wenye mawazo finyu (au wasio na mtazamo mpana) hutambulika kwa ugumu wa kiakili (kutobadilika mawazo), ukosefu wa huruma, na kutokuwa tayari kuzingatia mitazamo mipya. Kulingana na makubaliano ya wataalamu wa saikolojia, mara nyingi hutegemea dhana potofu, huonyesha fikra za kubahatisha au za kupindukia (kama vile kuamini jambo ni zuri kabisa au baya kabisa pasipo na wastani), na kutanguliza maslahi ya kibinafsi au kiburi chao badala ya kujaribu kuwaelewa
 
Wauaji na wezi wa rasiliamli zetu mbona hawajibu tuhuma na kukaa pembeni kupisha uchunguzi?
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX
 
Tuhuma hazipigwi rungu. Charity begins at home, mpende jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako.

Hawa wanawake wanasema, tuhumu na kutaja watu bila kutoa ushahidi mbele ya Heche. Demokrasia ndani ya vyama ndiyo inayozaa demokrasia serikalini. Unapotuhumiwa dawa ni kujisafisha kwa kupisha uchunguzi badala ya kuita wanawake wakusafishe.

View: https://youtu.be/T_uWhOHGAKA?si=qPQA8_iodS_1Q8YX

Vitol naye mleteni ajibu tuhuma za kuwaibia WaTanganyika kupitia mafuta!
 
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding others

"Watu wenye mawazo finyu (au wasio na mtazamo mpana) hutambulika kwa ugumu wa kiakili (kutobadilika mawazo), ukosefu wa huruma, na kutokuwa tayari kuzingatia mitazamo mipya. Kulingana na makubaliano ya wataalamu wa saikolojia, mara nyingi hutegemea dhana potofu, huonyesha fikra za kubahatisha au za kupindukia (kama vile kuamini jambo ni zuri kabisa au baya kabisa pasipo na wastani), na kutanguliza maslahi ya kibinafsi au kiburi chao badala ya kujaribu kuwaelewa
Wafuasi wa chadema wanatoka kundi hili

View: https://youtu.be/gUB4Md1XV5A?si=IasSeH8Qc41vfzHc
 
Nimeona sehemu anasema hajibizani na mbwa
Eti tz iamrishwe kutoka nje juu ya nini cha kufanya na nini cha kuacha. Tukiwa na Rais ambae anakubali kuwamrishwa na jumuiya za nje tutamfukuza kazi.
 
Back
Top Bottom