Kila Kona ya nchi yetu kumejaa madimbwi, Machozi kila Kona kila chozi linalotoka linaashiria machungu na maumivu, ni nani aliyetayari kukausha madimbwi haya?, ni nani wa kumfuta machozi huyu anaelia Januari mpaka Disemba?, amesahaulika na kila mti nia wa Nchi na hata Mtia nia Jimboni kwake, kila...